Aaah siku hizi mshiko ndo wa mhimu,we si unaona mkuu wa kaya anaonekana kijana
take your time and enjoy life
kabla majukumu hayajawafunika
enjoy to the fullest
kama ni wa mziki dance mifupa yako ikiwa na nguvu
fanya adventure zote kwa usalama lakini
nimekaa hapa nikakumbuka ya miaka hiyo
wakati mifupa ina nguvu
enzi tukijilisha upepo
wakati tunadansi na kudansi
duh early 90's, i wish nirudishe saa ya dunia nyuma
Wengine sasahivi ndo wanajifanya ma-school oriented hawana hata break ya ku-refresh mind wakati hata taarifa ya habari ina matangazo....matokeo yake wakivuka age ya kufanya waliotakiwa kuyafanya ndo utaanza kuona mzee mzima na familia nyumbani anaingia billz,au ana dressing code ya ujana mno mpaka anatia aibu....au mmama mtu mzima anavaa nguo inambanaaaa,alipokuwa kijana sijui alikuwa wapi....
Yaani vurugu tupu
utu uzima una gharama zake
vitu vingine unajikuta unaviacha bila kuambiwa
jamani!
Tushachokana, kimenigeuzia masaburi
ndo mana nakwambia enjoy now
Kua uyaone - source sijui nani nani