Kwa utapeli huu : NBC Bank hamfai

Kwa utapeli huu : NBC Bank hamfai

bCg

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
455
Reaction score
933
Leo ni mwezi tangu nikamilishe na kukusanya fomu zangu za kuomba mkopo katika benk yenu kupitia tawi mojawapo lililopo mkoani Shinyanga.

Siku naenda kuulizia utaratibu wa kuomba mkopo huwezi amini walisisitiza kuwa mkopo wanatoa ndani ya masaa 72 (siku 3 ) tu.

Lakini baada ya kupeleka hizo fomu leo kama takribani mwezi na sehemu Pesa hawataki kuniwekea, Dah!

Ukimuuliza Afisa mikopo anakuambia ameshatuma form makaoo makuu na zinashughulikiwa.

Lakini ukimkumbusha juu ya maelezo yake ya awali kuwa mkopo wao ( NBC BANK) watoa ndani ya siku tatu, anakuwa mkali! akijitahidi kujibu atakuambia kuwa system makao makuu ni mbovu .

Ukimuomba kusitisha mchakato wa kuomba mkopo yaani kunirudishia come, hataki. (lengo langu ni kwenda kuomba ktk banj zingine).

Meneja ukimfuata unakurudisha kwa Afisa mikopo!

kwa hatua zaidi nikapiga MAKAO MAKUU NBC BANK kupitia NO 0768984000 wiki 2 zilizopita lakini majibu niliyopata mhuuuu!

Maswali kwa NBC
1. Kitengo chenu cha mkopo ni cha kilaghai

2. Kwa nini hamtaki kunirudishia fomu ili nikachukue mkopi sehemu nyingine?

3.Au mkopo wenu unatolewa mpaka baada ya kutoa rushwa kwa afisa mikopo?

Kwa mtanzania mnyonge kama mimi sidhani kama nitapata majibu kutoka Bank huasika.

Msaada wangu kwa uhakika nitapata kutoka kwa wanyonge wenzangu yaani watanzania wanaojari utu na shida za wengine.

Je watanzania nifanye nini ili kurudishiwa fomu zagu nilizojaza na kuwapatia NBC?

Msaada tafadhari.
 
Hapo yametengenezwa mazingira ya rushwa tu. Na siku zinavyoenda unakuta mfumo wa rushwa unabadilika! Hachukui na Kula afisa mikopo peke yake Bali anashirikiana na Meneja wa tawi na baadhi ya wakuu Kule makao makuu hasa kama kiwango cha mkopo ni kikubwa!

Pole sana ndugu yangu Ila Kumbuka sio NBC peke yake bali karibu mabenki yote ni hivyo....
 
Mkuu pole sana. ni kweli kabisa hivi vitu vinakera sana. naamini ziko sababu za kwa nini mkopo wako wameuchelewesha hivi. inawezekana jamaa anaogopa kukwambia hizo sababu.

ni-pm tuzungumze dili moja kuhusu mkopo
 
Waandikie barua kwa maandishi KUSITISHA MKOPO na eleza sababu hiyo ya ucheleweshwaji kuwa ni kinyume na maelezo ya awali ya afisa mikopo na pia ni nje ya matarajio yako. Then sikilizia watakwambia nini. Mara nyingi unapofanya followup ya jambo mahala popote usifanye KWA MDOMO ,fanya KIMAANDISHI
 
nadhani hii ni sahihi kabisa,pia kuwa mkali coz mkopo ni biashara siyo msaada.binafsi kuna kipindi miaka ya nyima kidogo nilikuwa na mkopo posa wa miaka 2.baada ya kama miez 9 hivi nikapiga dili zangu nikapata vijisenti vyangu nikaamua kwenda ku clear mkopo ili nibakie huru.ilikuwa nusura nimtoe macho yule mama meneja wa hilo tawi.alikuwa anakataa eti nisubiri mpaka makato yaishe na siyo kuclear mapema ili hali mkataba unaniruhusu kufuta deni mapema.nilimtishia kuwa naenda makao makuu ya benki hiyo kama itashindikana nitaenda hata mahakamani na hata benki kuu nitafika kutoa malalamiko yangu.ndipo kwa shingo upande sana baada ya kuona nimekuwa mbogo ndo akakubali nifute deni
 
Yamenikuta na Mimi Ni mwezi wa pili hakuna hela. Solution Ni kuwapelekea barua wasitishe mkopo na kunipa form zangu.
 
Leo ni mwezi tangu nikamilishe na kukusanya fomu zangu za kuomba mkopo katika benk yenu kupitia tawi mojawapo lililopo mkoani Shinyanga.

Siku naenda kuulizia utaratibu wa kuomba mkopo huwezi amini walisisitiza kuwa mkopo wanatoa ndani ya masaa 72 (siku 3 ) tu.

Lakini baada ya kupeleka hizo fomu leo kama takribani mwezi na sehemu Pesa hawataki kuniwekea, Dah!

Ukimuuliza Afisa mikopo anakuambia ameshatuma form makaoo makuu na zinashughulikiwa.

Lakini ukimkumbusha juu ya maelezo yake ya awali kuwa mkopo wao ( NBC BANK) watoa ndani ya siku tatu, anakuwa mkali! akijitahidi kujibu atakuambia kuwa system makao makuu ni mbovu .

Ukimuomba kusitisha mchakato wa kuomba mkopo yaani kunirudishia come, hataki. (lengo langu ni kwenda kuomba ktk banj zingine).

Meneja ukimfuata unakurudisha kwa Afisa mikopo!

kwa hatua zaidi nikapiga MAKAO MAKUU NBC BANK kupitia NO 0768984000 wiki 2 zilizopita lakini majibu niliyopata mhuuuu!

Maswali kwa NBC
1. Kitengo chenu cha mkopo ni cha kilaghai

2. Kwa nini hamtaki kunirudishia fomu ili nikachukue mkopi sehemu nyingine?

3.Au mkopo wenu unatolewa mpaka baada ya kutoa rushwa kwa afisa mikopo?

Kwa mtanzania mnyonge kama mimi sidhani kama nitapata majibu kutoka Bank huasika.

Msaada wangu kwa uhakika nitapata kutoka kwa wanyonge wenzangu yaani watanzania wanaojari utu na shida za wengine.

Je watanzania nifanye nini ili kurudishiwa fomu zagu nilizojaza na kuwapatia NBC?

Msaada tafadhari.
Wapeleke mahakamani tu hakuna namna
 
Waandikie barua kwa maandishi KUSITISHA MKOPO na eleza sababu hiyo ya ucheleweshwaji kuwa ni kinyume na maelezo ya awali ya afisa mikopo na pia ni nje ya matarajio yako. Then sikilizia watakwambia nini. Mara nyingi unapofanya followup ya jambo mahala popote usifanye KWA MDOMO ,fanya KIMAANDISHI
Halafu usisahu kupeleka copy PCCB, if anything happens!
 
nadhani hii ni sahihi kabisa,pia kuwa mkali coz mkopo ni biashara siyo msaada.binafsi kuna kipindi miaka ya nyima kidogo nilikuwa na mkopo posa wa miaka 2.baada ya kama miez 9 hivi nikapiga dili zangu nikapata vijisenti vyangu nikaamua kwenda ku clear mkopo ili nibakie huru.ilikuwa nusura nimtoe macho yule mama meneja wa hilo tawi.alikuwa anakataa eti nisubiri mpaka makato yaishe na siyo kuclear mapema ili hali mkataba unaniruhusu kufuta deni mapema.nilimtishia kuwa naenda makao makuu ya benki hiyo kama itashindikana nitaenda hata mahakamani na hata benki kuu nitafika kutoa malalamiko yangu.ndipo kwa shingo upande sana baada ya kuona nimekuwa mbogo ndo akakubali nifute deni
Hivi ukitaka kufuta mkopo mfn ulikua miaka 3 na wewe mwaka wa 1 tu umefanikiwa na unataka kuufuta...riba itabaki vilevile hata kama unafuta nje ya muda wa mkataba?
 
Omba Statement then check deni la Jumla lililobaki ambalo linajumuisha na riba.

Au kama ni mtumishi Cheki balance ya deni Kwenye salary slip unaona deni la Jumla ambalo linajumuisha riba.
 
Kwa Nini Ufanisi wao Ni zero?
Kwa Sababu hata HQ hawana msaada wowote ukiwapelekea Taarifa ambako mara nyingi tunaamini ndiyo center of critical thinkers.
Na je; serikali haijui huu uozo uliopo NBC ? B.O.T mbona wanailea hili genge la kuihujumu serikali?
 
Leo ni mwezi tangu nikamilishe na kukusanya fomu zangu za kuomba mkopo katika benk yenu kupitia tawi mojawapo lililopo mkoani Shinyanga.

Siku naenda kuulizia utaratibu wa kuomba mkopo huwezi amini walisisitiza kuwa mkopo wanatoa ndani ya masaa 72 (siku 3 ) tu.

Lakini baada ya kupeleka hizo fomu leo kama takribani mwezi na sehemu Pesa hawataki kuniwekea, Dah!

Ukimuuliza Afisa mikopo anakuambia ameshatuma form makaoo makuu na zinashughulikiwa.

Lakini ukimkumbusha juu ya maelezo yake ya awali kuwa mkopo wao ( NBC BANK) watoa ndani ya siku tatu, anakuwa mkali! akijitahidi kujibu atakuambia kuwa system makao makuu ni mbovu .

Ukimuomba kusitisha mchakato wa kuomba mkopo yaani kunirudishia come, hataki. (lengo langu ni kwenda kuomba ktk banj zingine).

Meneja ukimfuata unakurudisha kwa Afisa mikopo!

kwa hatua zaidi nikapiga MAKAO MAKUU NBC BANK kupitia NO 0768984000 wiki 2 zilizopita lakini majibu niliyopata mhuuuu!

Maswali kwa NBC
1. Kitengo chenu cha mkopo ni cha kilaghai

2. Kwa nini hamtaki kunirudishia fomu ili nikachukue mkopi sehemu nyingine?

3.Au mkopo wenu unatolewa mpaka baada ya kutoa rushwa kwa afisa mikopo?

Kwa mtanzania mnyonge kama mimi sidhani kama nitapata majibu kutoka Bank huasika.

Msaada wangu kwa uhakika nitapata kutoka kwa wanyonge wenzangu yaani watanzania wanaojari utu na shida za wengine.

Je watanzania nifanye nini ili kurudishiwa fomu zagu nilizojaza na kuwapatia NBC?

Msaada tafadhari.
....kuna dalili za kutakiwa kutoa rushwa hapo ndipo mkopo utoke! Usitoe. Wakwende!
Vumilia tu muda usonge mbele wakati wao wakiendelea kujishaua...
Kisha Siku ya siku ndipo unawazukia kikamilifu kwamba Kwa nini hujapewa Mkopo wako kwa Miezii, mathlani, SITA sasa wakati umeishakamilisha taratibu zote!
Hapo lazima kuna mjinga mjinga mmoja lazima aende na maji!!!
 
Hivi ukitaka kufuta mkopo mfn ulikua miaka 3 na wewe mwaka wa 1 tu umefanikiwa na unataka kuufuta...riba itabaki vilevile hata kama unafuta nje ya muda wa mkataba?
Hapana sio rahisi hivo.

Bank nyingi wanavyokopesha wanakuwa tayari wamepiga hesabu return ya mkopo huo pamoja na riba kwa kipindi chote cha mkopo.

Hivyo basi, ukirudisha pesa kabla ya muda, wao huona wamekosa fursa ya kupata ile faida wailiyoitarajia.

Sasa kwa sababu hiyo, wengi wanatoza kiasi cha fedha cha ziada endapo utaamua kulipa mkopo wote kabla ya muda. Hiki kiwango wanachotoza ni nje ya ile riba yote ya mkopo ambayo ungelipa.

Na mara nyingi inakuwa kwny mkataba wa mkopo wako. Ni vile tu wengi hatusomagi vizuri. Kwa mfano, niliona NBC wanatoza nadhani asilimia 10 au 15% (sikumbuki vizuri) endapo utahitaji kurudisha mkopo wote kabla ya muda kuisha.
 
Ahsante
 
Leo ni mwezi tangu nikamilishe na kukusanya fomu zangu za kuomba mkopo katika benk yenu kupitia tawi mojawapo lililopo mkoani Shinyanga.

Siku naenda kuulizia utaratibu wa kuomba mkopo huwezi amini walisisitiza kuwa mkopo wanatoa ndani ya masaa 72 (siku 3 ) tu.

Lakini baada ya kupeleka hizo fomu leo kama takribani mwezi na sehemu Pesa hawataki kuniwekea, Dah!

Ukimuuliza Afisa mikopo anakuambia ameshatuma form makaoo makuu na zinashughulikiwa.

Lakini ukimkumbusha juu ya maelezo yake ya awali kuwa mkopo wao ( NBC BANK) watoa ndani ya siku tatu, anakuwa mkali! akijitahidi kujibu atakuambia kuwa system makao makuu ni mbovu .

Ukimuomba kusitisha mchakato wa kuomba mkopo yaani kunirudishia come, hataki. (lengo langu ni kwenda kuomba ktk banj zingine).

Meneja ukimfuata unakurudisha kwa Afisa mikopo!

kwa hatua zaidi nikapiga MAKAO MAKUU NBC BANK kupitia NO 0768984000 wiki 2 zilizopita lakini majibu niliyopata mhuuuu!

Maswali kwa NBC
1. Kitengo chenu cha mkopo ni cha kilaghai

2. Kwa nini hamtaki kunirudishia fomu ili nikachukue mkopi sehemu nyingine?

3.Au mkopo wenu unatolewa mpaka baada ya kutoa rushwa kwa afisa mikopo?

Kwa mtanzania mnyonge kama mimi sidhani kama nitapata majibu kutoka Bank huasika.

Msaada wangu kwa uhakika nitapata kutoka kwa wanyonge wenzangu yaani watanzania wanaojari utu na shida za wengine.

Je watanzania nifanye nini ili kurudishiwa fomu zagu nilizojaza na kuwapatia NBC?

Msaada tafadhari.
Ungeenda nmb
Achana kabisa na matapeli hao
 
Afisa mikopo anataka kalaki 2 hapo mkuu bila hivyo utasubili sana.......
 
NBC, CRDB hizi benki zina usumbufu wa kila aina na kila sekta.
Jiungeni na EQUITY BANK mkopo fasta fasta tena kwa masharti nafuu kabisa
 
Back
Top Bottom