General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,201
Hii ni miongoni mwa story zangu za ukweli kabisa ambazo huwa zinanitokea, tangu jumamosi kuna namba ngeni ilikuwa inanitumia sms.....mara habri za kazi, pole na kazi......cjui umeshkula na mambo mengine meeeeengi,mh nikaamua kuifuatilia hiyo namba kwa Kutumia utaratibu tuliojizoelea......m pesa...... Likaja jina geni kabisa.
Nikaamua kuipuuzia, j2 yake akanitakia j2 njema,mh.....mwisho nikamuuliza lengo lake kwangu haswa ni lipi.....bila hata kubebanisha maneno akasema eti ananipenda na ananiomba nimkubalie tuwe wapenzi!!Nikamuuliza kama hajui kuwa nina mke akajibu anajua na anamfahamu mke wangu na yupo tyr kuwa mwizi wake, Yote hayo ni kwa sms tu, nikaamua kumpigia.......akachukua muda mrefu kdg kupokea.....alipopokea pia na sauti ikawa ngeni mackioni mwangu na maswali niliyokuwa namuuliza akawa anajichanganya kujibu mwisho akaamua kukata simu, nikazidi kuchanganyikiwa na nikahic naudhalilisha u general wangu kibwegebwege sana.
Mchana wa j2 hiyo hiyo sms zikawa za mfululizo sana hadi na mi nikajikuta navutiwa kuendelea kuchati nae maana hapo nilianza ku note kitu, sms zinaingia pale wife akitoka nje, hapo kwa kutumia mfumo wangu wa uelewa wenye nguvu kubwa nikaanza kuunganisha zile sms na nyinginezo ambazo wife hunitumia nikaona kuna baadhi ya mambo zinashabihiana.........nikasema hii picha nacheza nayo hadi nione mwisho wake.
Akaja na wazo jipya......anaomba angalau tukutane sehemu tulivu sana na akapendekeza kwamba itakuwa vzr kama ni hotel, nikaweka ka mgomo kiaina mwisho nikakubali akapanga na muda kabisa saa 10 jioni sio vbaya.......kuna jamaa yangu nikamwambia ikifika saa 9 alasiri anipigie aniambie natakiwa ofisini kuna dharula.......mambo yakaenda kama nilivopanga,nikamuaga wife kuwa nimeitwa oficn.
Mi nikatangulia eneo la miadi yani saa moja kabla ya muda tuliokubaliana, ile namba nikaitumia sms kuwa tukutane pale saa 11 maana nimepata dharula oficn, ikasema poa, nikayafanyia u FBI maeneo yanayozunguka hotel ile ikiwa ni pamoja kuhakiki njia za ku escape kwa dharula eneo lile endapo kama itabidi kufanya ivo......kwa kweli pale nilikuwa na hisia mbili......1 ni kuwa wife ndo anainjinia mchezo ule........2 anaweza kuwa ni mojawapo ya manyumbu ambalo nishawahi kuligegedea mkewe kwa hiyo labda linataka kunifanyia ambush, nilipojiridhisha na uchunguzi wangu nikachagua ka eneo ka mafichoni nikaenda kukaa nikajiagizia ka bia kangu.
Mfumo wangu wa hisia pia unafanya kazi kwa umakini sana nikajikuta nageuza shingo upande wa pili mita kama 20 hivi kutokea pale nilipo nikamuona wife anakuja ameongozana na jirani yetu mmoja hivi ambae ki ukweli anafaa sana kwa matumizi ya chumbani na amekuwa kwny plan zangu kwa muda mrefu, huwa namfahamu tu kwa jina la mama fulani lakini jina lake kabisa clijui, wakakaa jirani yangu sana bila kuniona......akanitumia sms iliyonichanganya kdg, kuwa anaanza kujiandaa, nikajiuliza hivi nilikuwa nachati na wao au mtu mwngne.....nikapiga.......nikaona ile simu inaita, na kumbe kuchelewa kule kupokelewa ni kwamba yule jirani alikuwa anapewa maelekezo ya kuzungumza na mimi........nikajihakikishia kuwa kumbe ni wife ndo alikuwa anajaribu kuniwekea mitego ya kiboya namna hiyo.......nikatuma sms kuwa kama bado hajatoka nyumbani aache tu tufanye makutano yetu cku nyngne maana nimekuta dharula kubwa oficn na nitachelewa kutoka, alinung'unika kdg halfu nikaona wanaondoka......nikamtumia wife sms kumuuliza kama yupo home akasema ametoka kdg.
Sasa........kwa mchezo huu naona wife kaamua kuthibitisha kuwa natakiwa kumgegeda huyo rafiki yake......sintohangaika kutumia maneno yangu makali yaliyo ktk level za juu sana kutoka sayari za mbali ktk nyanja ya utongozaji najua kwangu hawezi kuchomoka bila kulowanishwa, na nimepanga kumpiga kwa staili kali zile za miaka ya nyuma kdg....ipo hiyo moja inaitwa IKIBINDA NKOI
Natoa taarifa rasmi kwenu.......kabla haijafika alhamisi ijayo nitakiwa nishamgaragaza mara 3.
Ni yule yule super #General Galadudu
AKSANTENI