Kwa ulimbukeni huu Wanafunzi msahau Kufaulu!!

Kwa ulimbukeni huu Wanafunzi msahau Kufaulu!!

Mangine=mengine mwandishi badilika,likes na comment zako zitashuka humu JF.
 
Habari za jioni wapendwa katika bwana, Leo nikiwa nimekaa sehemu Fulani tulivu ndipo roho akanijia na kuniambia nifikishe ujumbe huu kwa wanafunzi wote Africa na na baadhi ya mataifa isipokua North Korea( kwa baba kiduku)

--- Straight to the point---
Kuna tabia zimezuka sana miongoni mwetu ambazo ni mbaya sana hususa ni kwa makundi Fulani especially Wanafunzi , haijarishi mwanafunzi wa level gani!
Kama tujuavyo Mazoea hujenga Tabia na pia wenzetu wa huko wanasema always Practice makes perfect,
How comes mtu unaandika Jomoni badala ya ( jamani) ,2morrow( Tomorrow) Tz( Tanzania) na mangine mengi ambayo hata wewe umekua ukiyatumia au kuona,
Ukizoea ujinga huo hususa wewe mwanafunzi utajikuta ufaulu wako unashuka ukihisi unalogwa kumbe uandishi wako mbovu ! Badilikeni Wanafunzi mafanikio hayaletwi na nvua jamani!
JUMA PILI NJEMA!
Wewe ulifaulu kwa kiwango gani?
 
Rudini shule mpekue mabuku mtapata uelewa na sio kuwabeza hao wa "xx badala ya sasa"
 
Back
Top Bottom