Kwa ukimya huu wa Halima Mdee ni wazi Joyce Kiria alipaswa kuwa Mwenyekiti BAWACHA

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,209
42,071
Wasalaam wana jamvi.

Tangu Halima Mdee amekuwa mwenyekiti BAWACHA hajawai kuwahamasisha wanawake wenzie kushiriki siasa na maandamano kama inavyo tarajiwa kinyume na hapo yeye amekuwa akionekana tuu anapo onekana Ester Bulaya au anapo kuwepo Mama Lowassa.

Kibaya zaidi toka itangazwe oparesheni ya UKUTA yeye amekuwa kimya ambapo ilitarajiwa angejitokeza na kuwahasisha wanawake wenzie kujitokeza wakiwa mstari wa mbele wakiongozwa na Mama Lowassa kwenye hayo maandamano. Ukimya wake umewafanya watu waamini Halima Mdee anapingana na oparesheni ukuta na ana kubaliana na Joyce Kiria ambaye ana amini kuwa oparesheni hiyo haina tija kwa taifa na kwa wanawake.

Wana jamvi kama mtakumbuka tangu mwana harakati jasiri na mzalendo na mtetezi wa haki za wanawake ambaye pia ni mwana CHADEMA bila kusahau ni mwana BAWACHA kujitokeza hadharani kupinga oparesheni hiyo ambayo amehitaja haiwezi fanikiwa na haina tija kwa taifa huku akiwahimiza wanawake wenzie ndani ya chadema kuipinga na kuwazuia waume zao kushiriki hii operesheni.

Ni wazi wengi walitegemea mwenyekiti wa BAWACHA bi Halima Mdee angelijitokeza kupinga maneno ya mwana harakati Joyce Kiria ambaye aliwataka wana BAWACHA na wanawake kwa ujumla kupinga mkakati huo wa UKAWA.

Pamoja na ujasiri wa Halima Mdee lakini ni wazi kwa Joyce Kiria ka kwaa kisiki maana hana la kusema na wengi wanasema hakuna mwanamke ambaye amewai kupingana na wakubwa ndani ya CHADEMA zaidi ya Juliana Shonza na sasa ni Joyce Kiria ambaye amesema wazi bila kuogopa mtu yeyote ndani ya CHADEMA.

Mwana harakati Joyce Kiria pamoja na kusemwa ameishia darasa la saba lakini ni ukweli ulio wazi ameonesha uwezo wa ujasiri na kujenga hoja hata kuwashinda wakina Halima Mdee ambao wamezibwa midomo na wakina Mbowe na wamekuwa wakiongea kwa Maslai ya Mbowe.

Watu walitegemea mwenyekiti wa BAWACHA awe na uwezo na ujasiri kama alio nao Joyce Kiria ambaye hayuko tayari kuyumbishwa na anaye simamia anayo yaamini.Lakini tofauti ni wanae Halima ambaye ni muoga na si jasiri na kukemea mambo ambayo yanafanywa na viongozi wake ambayo yanaweza kuwaathiri wanawake.

Wengi wanasema kama BAWACHA ingepata kiongozi mwenye familia angekuwa na uwezo na ujasiri wa kukemea maovu au mambo yanayo weza hatarisha usalama na ukuaji wa familia zao, kinyume na hapo BAWACHA imepata kiongozi asiyejua uchungu wa familia wala umuhimu wake ndiyo maana wanapo jitokeza wengine kupinga maovu yeye huwa kimya maana hana anacho poteza.

Halima Mdee amekosa msimamo hajulikani kama anampinga Joyce Kiria au ana kubaliana nae maana ni wazi wanawake wengi wamemuelewa Joyce hasa alipotoa mfano alipotelekezwa pindi mumewe alipokamatwa na polisi hakuna msaada alio upata na kuamini mchuma janga hula na wakwao.

Wengi wamekuwa wakimuona Halima Mdee ni kiongozi butu ambaye hana uwezo wa kukemea na hivyo kuona wangepata mtu aina ya Joyce Kiria wangekuwa mbali na wangeachana na uana harakati.
 
Wasalaam wana jamvi.

Tangu Halima Mdee amekuwa mwenyekiti BAWACHA hajawai kuwahamasisha wanawake wenzie kushiriki siasa na maandamano kama inavyo tarajiwa kinyume na hapo yeye amekuwa akionekana tuu anapo onekana Ester Bulaya au anapo kuwepo Mama Lowassa.

Kibaya zaidi toka itangazwe oparesheni ya UKUTA yeye amekuwa kimya ambapo ilitarajiwa angejitokeza na kuwahasisha wanawake wenzie kujitokeza wakiwa mstari wa mbele wakiongozwa na Mama Lowassa kwenye hayo maandamano. Ukimya wake umewafanya watu waamini Halima Mdee anapingana na oparesheni ukuta na ana kubaliana na Joyce Kiria ambaye ana amini kuwa oparesheni hiyo haina tija kwa taifa na kwa wanawake.

Wana jamvi kama mtakumbuka tangu mwana harakati jasiri na mzalendo na mtetezi wa haki za wanawake ambaye pia ni mwana CHADEMA bila kusahau ni mwana BAWACHA kujitokeza hadharani kupinga oparesheni hiyo ambayo amehitaja haiwezi fanikiwa na haina tija kwa taifa huku akiwahimiza wanawake wenzie ndani ya chadema kuipinga na kuwazuia waume zao kushiriki hii operesheni.

Ni wazi wengi walitegemea mwenyekiti wa BAWACHA bi Halima Mdee angelijitokeza kupinga maneno ya mwana harakati Joyce Kiria ambaye aliwataka wana BAWACHA na wanawake kwa ujumla kupinga mkakati huo wa UKAWA.

Pamoja na ujasiri wa Halima Mdee lakini ni wazi kwa Joyce Kiria ka kwaa kisiki maana hana la kusema na wengi wanasema hakuna mwanamke ambaye amewai kupingana na wakubwa ndani ya CHADEMA zaidi ya Juliana Shonza na sasa ni Joyce Kiria ambaye amesema wazi bila kuogopa mtu yeyote ndani ya CHADEMA.

Mwana harakati Joyce Kiria pamoja na kusemwa ameishia kidato cha saba lakini ni ukweli ulio wazi ameonesha uwezo wa ujasiri na kujenga hoja hata kuwashinda wakina Halima Mdee ambao wamezibwa midomo na wakina Mbowe na wamekuwa wakiongea kwa Maslai ya Mbowe.

Watu walitegemea mwenyekiti wa BAWACHA awe na uwezo na ujasiri kama alio nao Joyce Kiria ambaye hayuko tayari kuyumbishwa na anaye simamia anayo yaamini.Lakini tofauti ni wanae Halima ambaye ni muoga na si jasiri na kukemea mambo ambayo yanafanywa na viongozi wake ambayo yanaweza kuwaathiri wanawake.

Wengi wanasema kama BAWACHA ingepata kiongozi mwenye familia angekuwa na uwezo na ujasiri wa kukemea maovu au mambo yanayo weza hatarisha usalama na ukuaji wa familia zao, kinyume na hapo BAWACHA imepata kiongozi asiyejua uchungu wa familia wala umuhimu wake ndiyo maana wanapo jitokeza wengine kupinga maovu yeye huwa kimya maana hana anacho poteza.

Halima Mdee amekosa msimamo hajulikani kama anampinga Joyce Kiria au ana kubaliana nae maana ni wazi wanawake wengi wamemuelewa Joyce hasa alipotoa mfano alipotelekezwa pindi mumewe alipokamatwa na polisi hakuna msaada alio upata na kuamini mchuma janga hula na wakwao.

Wengi wamekuwa wakimuona Halima Mdee ni kiongozi butu ambaye hana uwezo wa kukemea na hivyo kuona wangepata mtu aina ya Joyce Kiria wangekuwa mbali na wangeachana na uana harakati.
Usijali mwakani utapewa uongozi wa BAWACHA na wewe....
 
Mdee alijutahidi kufurukuta kwa maandamano yake feki na ya kitoto wakasambaratishwa wakajificha makaburi ya kinondoni
Ana kesi yake kisutu,sijui imefikia wapi
 
Ndio maana hana ujasiri wa kupingana na Joyce Kiria....
 
Unaamaanisha Joyce Kiria huyu mkuu?
 
Attachments

  • IMG_20160122_181604.jpg
    IMG_20160122_181604.jpg
    16.8 KB · Views: 81
Back
Top Bottom