Kwa UKAWA tu

Kwa UKAWA tu

Mkuu unashqbikia usichokijua wangekua makini wangwpinga posho bungeni!

Hata kama wangeikataa posho hiyo isingerudishwa hazina, bali ingepigwa na wajanja na hatimaye ingetumika vibaya kwa kununulia kura kutoka kwa wananchi maskini, bora walivyoichukua
 
Mkuu unashqbikia usichokijua wangekua makini wangwpinga posho bungeni!

Sijakuelewa....kwahiyo ukawa wasipopinga posho unapigia kura ccm........NI MARA NGAPI UKAWA WAMETOKA NJE N AKUKATAA KUSHIRIKI MAAMUZI YA MAMBO KIBAO AMBAYO HAYANA MANUFAA KWA WATZ. Ufisadi gani unasubiri ufanyike ili uikatae ccm mpaka unaongelea posho??Hata posho mara kibao wamezikataa.....TATIZO NI SISI WANANCHI, wkt upinzani wanakataa kitu Fulani wewe uko unakunywa viroba!!!!
MABADILIKO NI MIMI NA WEWE
 
UKAWA huu mwaka wetu umakini unatakiwa hili kufikia malengo hata Kinana ameisha legea Bukoba walimtoa nisha akaanza kulopoka.HATUDANGANYIKI.
 
Wenzio CUF hawajaona kuwa ni majambazi ndo maana wameungana na CCM kule zenjjjjjjj, we kalaga bhaho.

We ng'ombe kweliii.....Wenzako wakila mavi na wewe unakula?!?!?.....JARIBU KUWEKA MIFANO RELEVANT!
 
Sawa kamanda tutatunza siri za Ukawa humu JF.
 
We ng'ombe kweliii.....Wenzako wakila mavi na wewe unakula?!?!?.....JARIBU KUWEKA MIFANO RELEVANT!
Bavicha kwa matusi ni balaa. Nilichokisema siyo mfano, ni ukweli. Sijui unatukana kwa sababu zipi au unakataa kuwa CUF hawajaungana na CCM Zanzibar? Pia CUF ni UKAWA au mmeifukuza?
 
Back
Top Bottom