WaliNazi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 851
- 96
- Thread starter
- #21
Vijana kwa maneno..,we unaujua sana moyo wa mapenzi eeti? Haya hujamkabidhi moyo wote.,umemkabidhi kiasi gani.,robo,theluthi,nusu,robo tatu.?
Hizo zote mbwembwe.,huyo bi dada kakushika tena pabaya kama ni paka kashikwa shingoni,ingekuwa ng'ombe kashikwa kwa pembe..wacha kabisa huwezi kuruka.,na usjaribu,siku mtakayo achana ndo utajua kuwa ulimpa moyo wote.,.
Ushauri..
Panda gari nenda mfuate,.acha mawivu na jakamoyo unayojipa.Kampe mambo,hakikisha anaenda kibo mpk waarabu wake washuke.Usisahau kumbebea zawadi kama vyupi,perfume wanapenda mambo madogo hawa..,
....ok... najitahidi kukuelewa....