Kwa ujenzi CHUMA.

Kwa ujenzi CHUMA.

melson

Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
17
Reaction score
16
Tuna husika na ujenzi wa chuma,hivyo kwa yeyote mwenye kuhitaji fundi mwenye utaalamu na uzoefu na ujuzi tutafute tukujengee (steelfixer) kwa RAMAN yoyote na popote nchini Tanzania. Piga namba 0655264625
 
ungeweka na sample ya kazi zako na angalau bei zako ingekuwa vyema zaidi.
 
Vitu kama hivyo unaweka picha ya kazi zako ambazo utashawishi watu wajue kweli unachosema unakijua.

Kama malaya tu Instagram wanaweka picha za Biashara sembuse wewe mwenye biashara halali.
 
Back
Top Bottom