Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Watanzania kwa ufinyu wa mawazo yetu tunazani TOYOTA COASTER (and the like) kuwa ni magari makubwa sana yanayoweza kutuondolea matatizo ya usafiri wetu. Hatuoni wenzetu huko majuu?
mkuu naona umeandika unachowaza!watanzania kwa ufinyu wa mawazo yetu tunazani toyota coaster (and the like) kuwa ni magari makubwa sana yanayoweza kutuondolea matatizo ya usafiri wetu. Hatuoni wenzetu huko majuu?