M MZALAMO JF-Expert Member Jul 6, 2009 1,758 1,967 Oct 20, 2021 #42 Crimea said: Chief si ndio yule mlisema anapiga mwingi? Si nyie mnasema mnapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5? Click to expand... Vilevile walisema mama ni mtu wa haki.
Crimea said: Chief si ndio yule mlisema anapiga mwingi? Si nyie mnasema mnapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5? Click to expand... Vilevile walisema mama ni mtu wa haki.
KANYAMA JF-Expert Member Aug 7, 2011 1,482 2,272 Oct 20, 2021 #43 Crimea said: Acheni kulia lia! Kwani dikteta wenu bado yupo? Si mnapumua nyie!? Hizi mahakama si ndio mlishangilia wakati wa hukumu ya sabaya? Tulieni! Click to expand... Bwanawe shangaa haya wewe.
Crimea said: Acheni kulia lia! Kwani dikteta wenu bado yupo? Si mnapumua nyie!? Hizi mahakama si ndio mlishangilia wakati wa hukumu ya sabaya? Tulieni! Click to expand... Bwanawe shangaa haya wewe.
KANYAMA JF-Expert Member Aug 7, 2011 1,482 2,272 Oct 20, 2021 #44 MZALAMO said: Vilevile walisema mama ni mtu wa haki. Click to expand... Akiingilia mahakama napo mtasema.
MZALAMO said: Vilevile walisema mama ni mtu wa haki. Click to expand... Akiingilia mahakama napo mtasema.
K kuuuu JF-Expert Member Feb 24, 2016 590 506 Oct 20, 2021 #45 s ndo nyie mliosema tumpe muda,,, bado muda,, tuendeleen kumpa mda,, ndo democrsia ya kwel.