Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
Mkuu una uhakika?Mfano kule wana Nape na Bashe lkn wanataka kuwatoa.
Mkuu una uhakika?
Huenda ukawa mmoja wapo unasubiri hisani.Ha ha haaaa hivi ni wangapi sasa?
Na wa humu JF wapo au?
Kwanini wote wasingetokana na CCM?Hao upinzani ni asilimia ngapi ya walioteuliwa na magufuli nje ya wana ccm?
We inawezekana ukawaona ni upinzani ila kwa Magufuli ni watanzania na wanaenda kufanya kazi ya watanzania. Unaonekana kama mtu mzima ila mihemko ya kisiasa inadumaza ubongo wako.
True Katika chama kisichosomeka duniani CCM Ni namba Moja.CCM hakuna political scientist hata mmoja awezaye kukijua vizur.CCM Ina Ina circle nyingi ndani ya inner Circle nyingi kuliko utando wa buibui.Upinzani walijua wamepata Lowasa na wazingu wakaimba Lowasa ,Lowasa kilichotokea hawaamini Hadi sasa.2020 haiko mbali it is just around the corner you will know who is who in CCM .CCM nyerere aliisuka ikasukika ni vyama vitatu tu duniani vilivyosukwa vikasukika Ni CCM ,chama Cha China na Cha Korea ya kaskazini.Hivi inner circles zake ziko nyingi mno na zinajua kutunza Siri.Dont worry 2020 is comingLets wait and see 2020.
Wateule toka upinzani ni Watanzania na wana equal chance kama Watanzania wengine kuteuliwa maadam wana sifa.Natazama kwa hicho la tatu kitendo cha wanasiasa mbalimbali wa upinzani kuhamia CCM. Naona ni kama bahati iliyomfikia Mhe Rais na hata CCM anayoiongoza katika kuwapata wateule wake.
Tangu mwaka 2015, Mhe Rais na CCM kwa ujumla wake umepata wateule kwenye nafasi mbalimbali za kiuongozi na katika kutimiza matakwa na dhima ya kuunda Serikali. Hadi sasa waliokuwa Wapinzani wameteuliwa kwenye nafasi mbalimbali.
Kuna Manaibu Mawaziri (Waitara na Shonza); Katibu Mkuu wa Wizara (Profesa Mshiriki Kitila Mkumbo); Balozi(Dr. Slaa); Mkuu wa Mkoa(Mama Mghwira); Katibu Tawala wa Mkoa(Kafulila); Wakuu wa Wilaya(Katambi na Mtatiro); MaDAS (mfano Mtela Mwampamba) na kadhalika.
Kwangu mimi huo ni ushahidi kuwa Upinzani uliwaandaa, kuwalea na kuwapika wahusika hao na kuwapa sifa za kiuongozi. Ndiyo maana Mhe Rais na CCM kwa ujumla wameridhika nao na kuwakabidhi nafasi hizo za kiuongozi. Mimi siwaiti Wasaliti wa upinzani ni fursa iliyopatikana kwa CCM ambayo 'haikuwa na watu kama hao'.
CCM wamekwama wapi katika kupika vijana na kuwakomaza kuwa na sina za kiuongozi kama hao waliotoka Upinzani? CCM ilikwama wapi kuwa na watu wazima kwenye sifa na kaliba hizo ili kuonwa na kuaminiwa na Mhe Rais? Kimsingi, sifa ziende kwa Upinzani, jiko lenye kuivisha wengi!
Wewe umebakia kuzalishwa Tu uteuzi unakupita wapi?Ha ha haaaa hivi ni wangapi sasa?
Na wa humu JF wapo au?
Wewe umebakia kuzalishwa Tu uteuzi unakupita wapi?