Kwa Teuzi hizi za JPM sasa naamini Rais si wa "Vyama vyote","Watu wote" na "Jinsia zote"

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
Wakuu mpaka sasa Rais ameshafanya teuzi zote muhimu,teuzi za watu watakaomsaidia kuongoza nchi kwa kipindi cha kwanza cha miaka mitano.Dira na muelekeo wa Rais ni "Serikali ya Viwanda" na "Kutumbua Majipu".Tunamtakia kila ra heri!!People are on board and the Plane is cruising reasy for taking off...Airborne time is awaited.Hope not to hear a "May-Day alert" for the plane to land.

Uchaguzi uliopita ulikuwa na ushindani sana,wapo tuliochaguwa mtu na kuacha chama na wapo waliochagua chama tu bila kujali mtu.Mwisho wa siku kila mtu alichaguwa pale alipoona pana Tanzania mpya.Hakika wengi tulichaguwa "Serikali ya Magufuli" hatukuwa na haja ya kutazama rangi ya chama anachokisimamia wala historia ya chama hicho.Tulilinganisha watu wa wawili tukaamua kuchukua kanuni ya "The lesser evil".

Matumaini yetu yaliyokana na namna tulivyoambiwa,kwamba itakuwa ni serikali ya vyama vyote,bila kujali CCM,CHADEMA,CUF au CHAUSTA,Serikali ya vyama vyote na sie tusio na vyama,serikali ya dini zote na wasio na dini,itakuwa "SERIKALI YA MAGUFULI" ambayo itakuwa inatumbuwa majipu ya walio wake na wasio wake.Hii ndio serikali tuliyoipigia kura na kuaimini.Hatukutaka kutazama walipotoka bali tuliona nia ya dhati katika macho na uso wa Magufuli.Huko ndipo watu wengi tulipopachagua na kuwapa dhamana.

Teuzi hizi zimewavunja moyo vijana wengi,walio wasio BAVICHA wala wasio kufungamana na chama chochote.Wengi wamekata tamaa ya muda.Maana vijana wengi waliokuwa ni watumishi wa umma waasilifu na waliochguwa serikali isiyo na "upendeleo" sasa wamepatwa na butwaa.Tumeingua katika serikali hii tukiwa na mishahara midogo na kwa moyo wa uzalendo.Tumevumilia katika jua na mvua,taabu na shida lakini hatujakumbukwa.

Ajabu ni kuwa vijana wenzetu waliokuwa tu mtaani,lkn wakiimba nyimbo za wanasiasa ndio wankuja kuwa maboss wetu.Wale ambao hata purukushani za kutafuta kazi ndani ya utumishi wa umma wakati sisi tukihangaika ndio wanakuja kuwa juu yetu..Sio kwamba hawana sifa,bali wana "vigezo" na vigezo ni kuwa karibu na Chama na viongozi wa chama.Hii inatukatisha tamaa sisi tusio na kadi za chama lakini tuliamua kuchaguwa sehemu ya serikali iliyopo kwa ahadi ya "Serikali ya watu wote"

Kukaa ndani ya utumishi wa umma kama Katibu Tarafa tena katika mikoa ya pembezoni ukiwa na degree yake ya pili mahali ambapo wengi walipakimbia halafu huonekani na anaonekana kijana aliyekuwa anshinda Lumumba inatia huzuni sana.Teuzi hizi zinavunja moyo,zinatia simanzi na zinapoteza dhana ya "Serikali ya Magufuli ni serikali ya watu wote"

Hivi hakukuwa na mfumo wa kuanza kutazama vijana walio waasilifu ndani ya utumishi wa umma wenye nia na uzoefu na wasio wanachama wa chama kongwe na wakapewa nafasi??

Ni wakati sasa muafaka serikali iseme tu kuwa ili vijana walio katika utumishi wa umma kama wanataka kupata "promotion" basi wajiunge na chama dola,wakate kadi na kuwa makada..Maana sasa tusio na chama titaendelea kukaa hapa hapa mpaka lini??

Kwa teuzi hizi....Serikali ya watu wote kama siioni vile
 
mzee mwenzangu umeongea jambo la msingi sana ila vilio vyetu ni sawa na vya samaki maana samaki akilia hakuna wa kumfuta machozi mwisho wa siku machozi yake yanaenda na maji...tumuombe Mungu azidi kutuepushia machafuzi yoyote maana ata ng'ombe utamlimisha kutwa nzima lakini siku ikifika atagoma tuu.
 
dogo umeandika vizuri, lakini kiutaratibu wasaidizi wa rais ni watu wenye ukaribu nae, usilalamike sana!
 
Ulitakiwa ushukuru kwa kutokuchaguliwa kwenda kuwa mrasimu. Dunia ya leo sekta binafsi na isiyo rasmi ndio inashika hatamu na huku kwetu kipato hakina limit jivunie kuwa sehemu ya wagonga nyundo wa nchii hii. Huku ndio tuko wengi usivunjike moyo kwa kutokuwa sehemu ya watu 100 huku tuko mamilioni.
Vijana msitamani wote mteuliwe haiwezekani njooni huku tukaze tutatusua tu.
 
Wakuu mpaka sasa Rais ameshafanya teuzi zote muhimu,teuzi za watu watakaomsaidia kuongoza nchi kwa kipindi cha kwanza cha miaka mitano.Dira na muelekeo wa Rais ni "Serikali ya Viwanda" na "Kutumbua Majipu".Tunamtakia kila ra heri!!People are on board and the Plane is cruising reasy for taking off...Airborne time is awaited.Hope not to hear a "May-Day alert" for the plane to land.

Uchaguzi uliopita ulikuwa na ushindani sana,wapo tuliochaguwa mtu na kuacha chama na wapo waliochagua chama tu bila kujali mtu.Mwisho wa siku kila mtu alichaguwa pale alipoona pana Tanzania mpya.Hakika wengi tulichaguwa "Serikali ya Magufuli" hatukuwa na haja ya kutazama rangi ya chama anachokisimamia wala historia ya chama hicho.Tulilinganisha watu wa wawili tukaamua kuchukua kanuni ya "The lesser evil".

Matumaini yetu yaliyokana na namna tulivyoambiwa,kwamba itakuwa ni serikali ya vyama vyote,bila kujali CCM,CHADEMA,CUF au CHAUSTA,Serikali ya vyama vyote na sie tusio na vyama,serikali ya dini zote na wasio na dini,itakuwa "SERIKALI YA MAGUFULI" ambayo itakuwa inatumbuwa majipu ya walio wake na wasio wake.Hii ndio serikali tuliyoipigia kura na kuaimini.Hatukutaka kutazama walipotoka bali tuliona nia ya dhati katika macho na uso wa Magufuli.Huko ndipo watu wengi tulipopachagua na kuwapa dhamana.

Teuzi hizi zimewavunja moyo vijana wengi,walio wasio BAVICHA wala wasio kufungamana na chama chochote.Wengi wamekata tamaa ya muda.Maana vijana wengi waliokuwa ni watumishi wa umma waasilifu na waliochguwa serikali isiyo na "upendeleo" sasa wamepatwa na butwaa.Tumeingua katika serikali hii tukiwa na mishahara midogo na kwa moyo wa uzalendo.Tumevumilia katika jua na mvua,taabu na shida lakini hatujakumbukwa.

Ajabu ni kuwa vijana wenzetu waliokuwa tu mtaani,lkn wakiimba nyimbo za wanasiasa ndio wankuja kuwa maboss wetu.Wale ambao hata purukushani za kutafuta kazi ndani ya utumishi wa umma wakati sisi tukihangaika ndio wanakuja kuwa juu yetu..Sio kwamba hawana sifa,bali wana "vigezo" na vigezo ni kuwa karibu na Chama na viongozi wa chama.Hii inatukatisha tamaa sisi tusio na kadi za chama lakini tuliamua kuchaguwa sehemu ya serikali iliyopo kwa ahadi ya "Serikali ya watu wote"

Kukaa ndani ya utumishi wa umma kama Katibu Tarafa tena katika mikoa ya pembezoni ukiwa na degree yake ya pili mahali ambapo wengi walipakimbia halafu huonekani na anaonekana kijana aliyekuwa anshinda Lumumba inatia huzuni sana.Teuzi hizi zinavunja moyo,zinatia simanzi na zinapoteza dhana ya "Serikali ya Magufuli ni serikali ya watu wote"

Hivi hakukuwa na mfumo wa kuanza kutazama vijana walio waasilifu ndani ya utumishi wa umma wenye nia na uzoefu na wasio wanachama wa chama kongwe na wakapewa nafasi??

Ni wakati sasa muafaka serikali iseme tu kuwa ili vijana walio katika utumishi wa umma kama wanataka kupata "promotion" basi wajiunge na chama dola,wakate kadi na kuwa makada..Maana sasa tusio na chama titaendelea kukaa hapa hapa mpaka lini??

Kwa teuzi hizi....Serikali ya watu wote kama siioni vile

Mkuu, dont trust any crooked politician. Maneno wanayowaaminisha wananchi, It is just political strategies. Kuna usemi mmoja unasema hivi, "Political language is designed to make lies sound truth, and murder respectable. And to give an appearance of solidity to pure wind". Ukishalijua hilo, you will never trust politicians. Mtu anakuja anakwambia eti niombeeni, wakati huo hatendi haki, ubaguzi na chuki vimemjaa kila kona.
 
Hivi wakatoliki ni wangapi ???
 
Mleta mada ulianza vzr ila umechemka aya za mwisho. Mimi naona teuzi ziko sawa kwasababu hata kama ni mimi ningeteua watu ninaojua hawatanikwamisha na ninaowafahamu kiundani. Na kama JPM aliteua vijana waliokuwa mtaani bila kazi ninampongeza sana.
 
dogo umeandika vizuri, lakini kiutaratibu wasaidizi wa rais ni watu wenye ukaribu nae, usilalamike sana!
Kwa hiyo mkuu hata U-DAS nao tunaoukosa?Yaani mtu umekuwa Katibu Tarafa kwa miaka 10 hupewi hata Ukatibu Tawala wa Wilaya tu?
 
Mleta mada ulianza vzr ila umechemka aya za mwisho. Mimi naona teuzi ziko sawa kwasababu hata kama ni mimi ningeteua watu ninaojua hawatanikwamisha na ninaowafahamu kiundani. Na kama JPM aliteua vijana waliokuwa mtaani bila kazi ninampongeza sana.
Naona bado hatuelewani Mkuu....Lakini basi ipo siku tu!!
 
Mkuu, dont trust any crooked politician. Maneno wanayowaaminisha wananchi, It is just political strategies. Kuna usemi mmoja unasema hivi, "Political language is designed to make lies sound truth, and murder respectable. And to give an appearance of solidity to pure wind". Ukishalijua hilo, you will never trust politicians. Mtu anakuja anakwambia eti niombeeni, wakati huo hatendi haki, ubaguzi na chuki vimemjaa kila kona.
Yaani mkuu inauma sana...Mtu anasema atakuwa Rais wa wote halafu teuzi tu anaonyesha kuwa ni Rais wa watu fulani'!!
Kweli hii haki??Halafu wanataka tuwaombee!!
 
Ni vizuri WAKAJAZANA wao kila UPANDE ili badae wasije KULIALIA kwamba kuna MTU aliwachelewesha!!

Tunawatakia kila la kheri!!
 
Back
Top Bottom