Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,548
Katika kuonyesha msisitizo ambao utawashitua hawa wakorofi ambao mara kwa mara huwa wanataka kunufaika sana na uwepo wa Tanzania katika Jumuiya Afrika Mashariki EAC na hali ilivyo hivi sasa ni wakati muafaka kwa Tanzania kuunda ushirikiano na nchi tatu kibiashara ambazo ni Tanzania, Congo DRC) na Burundi. Kifupi tuiite TanCoBu-Coalition. Hakika sisi tutapeta sana kibiashara maana masharti yetu kwa hawa 3K's yatakuwa yale yale tena yatakayo leta tija, kuliko hasara tunazoziona ziko wazi katika mahusiano haya bandia.