Kwa tabia zake nimeshindwa kulala nae

Kwa tabia zake nimeshindwa kulala nae

Hapo vip!!

Juzi nilikuwa na stress zangu,nikaingia chimbo mmoja ili nipate moja baridi.

Mara nikamuona Murembo mmoja amekaa anakula mingo kutoka na kutogegeda muda mrefu ikabidi nikaze roho nimuombe campany,then akanielewa akaja.

Ikabidi nimuoagize anachokunywa baada ya hapo nikaenda straight to the Point nikamuambie mm naitaji nikugegete usiku wa leo,akawa amenielewa.
Baada ya hapo akaniomba twende club,anyway nikamuambie Hamna Shaka.
Baada ya kupiga Kama tatu tatu tukasepa Club is around 2pm.

Anyway mtoto ameumbika mashallah na nimzuri,kila nikimuangali mashine inasima mbaya,nikajua Leo lazima nimvuge mbaya.

Dah!!alipoharibu mpaka steem zikakata,mtoto huo ushuzi aliotoa hapa Club sio wakaida !!najua kila mtu anapumua but katika mazingira amboyo sio public... Lakini kwa hili alinifanya niishie kumnunulia pombe then nikamtakia usiku mwema.
Heee hah hah hah
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mbona kujamba ni mila na desturi Mkuu.Hata watawala wanajamba tena mpaka nchi inatetemeka
 
Sasa we ushuzi unakuathiri nini, hio ni kiashiria kuwa mtoto wa kike kashashiba ulabu na nyamachoma ulizolipia. Kilichotakiwa kufata ni kwenda kakamilisha zoezi tu. Mpaka kukikucha unakuwa fiti kalikiti
 
We sio mwanaume kamili wenzio ushuzi tunaupenda wewe unaukimbia
 
ha ha ha ha! sipati picha ukikutana na harufu ya papa, kama ushuzi tu unakukimbiza
 
Kwan mangapi machafu ungeenda kumfanyia yaliyozidi ata harufu ya ushuzi wa bia? Mbona shule zimeshafunguliwa ww bdo unafanyaje hapa
 
Back
Top Bottom