Heaven on Earth hebu come zis way umwambie DEMBA naona eti ana wasi wasi?unataka kuzima moto kwa kufunika na mfuniko wa plastik? haiwezekani hebu leteni ufafanuzi na huyo mwenzio Heaven on Earth kabla sijaja na plan b
Ngoja na mimi nipige chini hiki kimeo changu maana kina njaa kali kama kimezaliwa Somalia. Utasikia mara bebii hela ya Saloon, Mara next week nina birthday nataka niifanyie Jangwani Sea Breeze na marafiki zangu wa chuo!! Yani ni shidaaAaa. Mkuu huyo binti ni wa aina ya peke yake so fanya juu chini uweke ndani kabisa.
Men....... mbona wengi wenu mna mashaka kiasi hiki? Wasichana wa hivyo wapo jamani ni wachache lakini wapo!
Ila sasa ukiwa bore ndiyo kasheshe inaanzia hapo! Mleta mada jiangalie tabia zako unaweza kuwa mume bora kwa binti wa aina hii? Ukitulia naye atatulia, ukileta zako za kuleta utaisoma namba! kwa binti mwenye msimamo kama huyo ni ngumu kumchezeachezea, na kuomba sorry!
Huyu ndiyo inabidi umtilie mashaka sana kwanza, ufanye uchunguzi wa kutosha il uwe na uhakika kabisa kuwa anachofanya hiki siyo maigizo ila ni tabia yake halisi. Ukishajiridhisha na kila kitu juu yake kuwa kiko kama unavyomuona, ndiyo hapo sasa unatakiwa ubwabwaje maneno kama ulivyofanya hapa, otherwise anaweza akawa ni mzuri tu na anafaa kwa kuoa, ila akawa hana qualities exactly kama unavyomuona sasa. Ikitokea hivi na huku wewe ulikuwa umesham-rank juu sana, to some extent unaweza ukaja kuwa discouraged sana huko mbele ya safari,na inawez kupelekea kuharibu ama kuyumbisha mahusiano yenu mema. Fanya uchunguzi na ujiridhishe kabisa kuwa vile unavyomuona ndivyo alivyo.
Mkuu embu tilia mashaka kidogo hio tabia yake manake pesa kila mtu anazipenda iweje yeye asitake hata shilingi kutoka kwako ukizingatia ni msichana na pia wa level ya collage mhhhh....otherwise hongera .
Ha ha ha! acha ukorofi mchumba...
DEMBA ufafanuzi wa nini tena..............unataka kuzima moto kwa kufunika na mfuniko wa plastik? haiwezekani hebu leteni ufafanuzi na huyo mwenzio Heaven on Earth kabla sijaja na plan b
hii avatar hadi nije kuizoea.......................
kwa leo tu namuenzi Madiba.........
umeamkaje mchumba..........
Kana miaka 20, baba yake mzazi ni mpare na mama mu-iraq. Ni kazuri kupindukia coz sinaga historia ya ku-date mabinti wabaya. Bado kako chuoni.
Oneni tabia zake... hakajawahi HATA SIKU MOJA kuniomba pesa, nikajishtukia ikabidi nimuulize kama ana shida yoyote, akanijibu kwamba kwa sasa wenye wajibu wa kumtunza na kumsomesha ni wazazi wake.
Nina gari, ila hajawahi kuliulizia siku asiponiona nalo, ameshaniaminisha kwamba ananipenda kama nilivyo, tofauti na madem wengine wapenda maujiko kwamba mabwana zao wana magari!
Siku nikipata dharura nikawa sina airtime kwenye simu ananitumia!
Msimamo ndio usiseme, kuna jamaa alimtaka mtoto akakataa, jamaa akamtishia, mtoto akaenda kumshtaki polisi.
Binafsi nimewahi kumnunulia vitu vidogovidogo tu tena kwa kumbembeleza ikibidi kumlazimisha!
Asipobadilika wallahi vile NAOA!
Kuhusu kuigiza, hapana mkuu, huyu binti ndivyo alivyo, mabinti sijawajua jana wala juzi, nimeshamsoma tayari.