Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,278
- 18,364
Wadau kuna katabia flani kamezuka kutoka kwa wanawake watu wazima wenye umri mkubwa tu na wengine unaweza kuona wanakuzidi au mnalingana.
Hivi hua lengo lenu ni lipi unakutana na mimi unanisalimia "shikamoo" niko kwenye 30s nawewe uko kwenye 30s, una familia, una mume au uko single, wengine mnatoa shikamoo ilihali ni wakubwa kunizidi hivi hii tabia imetoka wapi? na wahusika wana manufaa gani juu ya hili?
Siwaelewi kabisa, au naonekana mzee sana kama hamtajirekebisha ntazungumza na yule naibu minister wa mambo ya akina Mond awafungie kusalimia
Kuna wakati naona aibu kuitikia kabisa salamu zenu, mtu ukitazama usoni kwake unaona kama sister yako unayeweza kumfuata kwa kuzaliwa au ukamfuata mara ya pili kwa kuzaliwa, maajabu sana haya sijui yananitokea mimi tu au wanaume wenzangu pia yanawakuta?
Na nyie KE mtuambie kuna maslahi gani nyuma ya hili