Kwa tabia hii wamama na wadada mnamaanisha nini?

Jibu: Marahabaa
au
Jibu: Sijambo tu - Wataelewa salaamu unayoitaka.
Mdada au mmama ukikushikamia unajibu marhaba mpenzi Au marhaba, hujambo laaziz, shikamoo inakufa kifo cha mwizi hapohapo.
 
Ni kama mwezi tu toka nihamie mtaa mpya. Nimepanga kwenye nyumba nzuri tu vyumba vyangu viwili.

Situmii muda mwingi hapa gheto kwani nakuwa busy na issue zangu. Ila kuna mama mmoja mke wa jirani yangu ananipa taabu sana. Nikirudi tu gheto, huyu hapa kaka hujambo, mbona mpweke sana, nikupe kampani. Mara ooh nyie watu wa Tanga mko vizuri, mara kaka unaonekana mwingi wa mahaba.

Nimeshamuonya mara kadhaa kuwa huo mtego wake utamletea maafa hasikii. Ni mama mzuri na hajazaa bado. (actually amefungasha vizuri). Hofu yangu naona kama uzalendo unafikia mwisho sasa.

Nifanyeje jamani?
JITAHIDI na wewe umege
Em weka picha yako tukuone manake tusije kuwalaumu kumbe una sura ya kizee baba
Wazo jema kwa wakati muafa twasubiri utekelazaji tu
 
Kumbe we muoga hivyo,
wakikusalimia itikia.

Ke: shikamoo......

Wewe: marahaba mjukuu wangu, hujambo.

Ke: nyoooooo..!! mjukuu wako nani... Mxiiieww.


Wasipokuambia hivyo leta mrejesho.
 
wanakuchunguza kama na wewe unataniika??unaonekana mda mwingi unakuwaga siriasi sana..hata Mimi kipindi Fulani ilikuwaga vivyo hivyo nikaomba ushauri humuhumu jf nikaufuata nikaanza kujifanya mtambo kuna kanafunzi kamoja kalizoea kuniamkia siku hakakuamini masikio yake jibu alilolisikia toka kwangu ile "shikamoo"nikakaambia njoo uishike kama wanajf walivyonielekeza kakashangaa "khe kumbe na wewe mjanja hivyo mi nakuonaga mpoole"kilicho endelea huko alaaniwe shetani...!!basi ndo mwendo huo huo siku hizi haviniamkii tena naviamkia vyenyewe
kwa hiyo hawa wenzetu ni wajanja sana hiyo shikamoo unazopewa huwa wanatafuta starting point ya kuanza mazungumzo na wewe...!usiwe siriasi sana we jifanye mtambo tu siku moja afu utaona kama watakuamkia tena..
Kiukweli niko serious sana hua sicheki kirahisi.
Ukiona natabasamu labda niko na simu yangu nime-log in JF ndo nikisoma vituko nacheka mwenyewe Kama mwehu
 
Huenda ni mwili na muonekano tu lakin wanakuona wewe ndio mkubwa.
Mimi nina wadogo zangu wana miili mikubwa tukiwa njian wanasalimiwa wao mimi naachwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom