mwanamke hata awe mkubwa vipi.Sijifanyi mdogo mkuu.
Ila kuna wakati naona aibu kuitikia salamu za baadhi ya wanawake, mtu unamuangalia unaona kabisa huyu analingana na dada yangu Cha ajabu ananisalimia shikamoo
we jamaa uko na problee,angalia siku hizi sio nisani tena,ila utapanda basi mwenyewe na pafyumu utajipulizia tu.Sasa kama una sura kama yule katibu mwenezi wa baba wa malaika, nini unatarajia?
Naona siku hizi naye anabadirika. Pesa mwanaharamu kweli!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Maisha magumu, kila mmoja anamuona mwenzake mkubwa, ni mwendo wa kuviziana tu, uwe unawawahi kuwasalimia wewe
Alafu Sina kitambi kabisa mkuu, najitahidi mazoezi na kazi yangu ni vigumu kuota kitambi[emoji23]Punguza kitambi mkuu.
Kusalimiwa salimiwa shikamoo kizazi hiki ni kutiana nuksi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]We ipokee tu kwani inakupunguzia nini. Mbaya kama ungekuwa kila ukisalimiwa na sura yako inabadilika.
"Shikamoo natoka hapa" Teh teh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtaalam, kuna uwezekano utawala huu umekuzeesha ghafla... yawezekana unaonekana mkubwa kuliko umri wako halisi....
Piga maombi upunguziwe majaribu ya dunia.
Mimi sio wa tasnia hiyo ya kutaka kila mwanamke anayekatiza machoni kwanguUnaogopa kunyimwa mkuu.
mapeneKama sio za umri zitakua za nini mkuu?