Kwa taarifa yako..

Kumbe wewe mdogo. Akina siye tulilipiwa kwa noti ya shilingi kumi !!!! 🙂
 
Kuna wa enzi hizi hapa na bado hawajaolewa/kuoa
 
Hizi mada nyingine jmn.

Ni shiiiiiida.
 
Noti iliyotisha na kushitua kuliko zote zilizowahi kutokea. (BLUE)
 
Kipindi pesa inaitwa pesa. Ukiwa na blue Ulikuwa unaweza kumtoa mshikaji out mkapiga bia za kutosha tu, ulikuwa unaweza kwenda supermarket ukajaza kikapu kwa bidhaa mbali mbali. Ulikuwa hauwezi kulipia nauli kwenye basi maana sio konda tu atachonga lakini utaacha minong'ono kwa abiria wote kuwa unatafuta sifa za kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…