M Mshuka1 Member Joined Sep 2, 2013 Posts 5 Reaction score 2 Sep 3, 2013 #1 "System ya kulipia kodi ya line ya simu sh.1000/=,ikianza tu!! Nitakuwa napatikana hapa: S.L.P. 007.Arusha,TANZANIA."
"System ya kulipia kodi ya line ya simu sh.1000/=,ikianza tu!! Nitakuwa napatikana hapa: S.L.P. 007.Arusha,TANZANIA."
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,099 Sep 3, 2013 #2 Wizi mtupu badala wakusanye kodi kutoka kwa wawekezaji wanaomiliki maliasili zetu wanatukaba ss walala hoi.
Wizi mtupu badala wakusanye kodi kutoka kwa wawekezaji wanaomiliki maliasili zetu wanatukaba ss walala hoi.
T Tinambuya JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 419 Reaction score 41 Sep 3, 2013 #3 kwataarifa tuu mm nahamia kuleeeee
N NancyM JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 314 Reaction score 40 Sep 3, 2013 #4 Yaan s simu tuu hata ukifanya malipo yoyote kuna makato ssa hivi watu wanakatwa TRA kodi watu watakuwa wanatembea na hela mkononi na mawasiliano yatapungua haha Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Yaan s simu tuu hata ukifanya malipo yoyote kuna makato ssa hivi watu wanakatwa TRA kodi watu watakuwa wanatembea na hela mkononi na mawasiliano yatapungua haha Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Sep 3, 2013 #5 Sawa mkuu Ila kodi yenyewe imeanza mgomo naona imekataa kukatishwa