Kwa style hii "BIG RESULT" itafanikiwa!

Kwa style hii "BIG RESULT" itafanikiwa!

Mbonge

Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
19
Reaction score
0
Baada ya kusemekana kuwepo makubaliano ya kwa njia ya kusain mkataba baina ya waziri wa elimu na member wengine wa kada ya elimu, hali imeanza kuonesha japo dalili za mafanikio huko mashuleni, hii ni kutokana na walimu kupiga kazi kwa asilimia 100% na zaidi ya ubunifu waloelekezwa huko vyuon, ebu ona mwl huyu anavofundisha kwa moyo pamoja na kukatishwa tamaa na mwajiri wake! Kutokana na maslahi hafifu, walimu mjifunze!
 

Attachments

  • 75973_382737871824983_2034571498_n.jpg
    75973_382737871824983_2034571498_n.jpg
    13 KB · Views: 99
Back
Top Bottom