mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Wabadilike wote....Ila hivi ndo viashiria vya vijana wengi kutokuwa na ajira yaani mdada ukijichanganya kwake sekunde tu yeye anachukulia hiyo kama fursa ya kupata kipato....Balaa inakuja wakikutana na Wakina Papaa.ye anaomba shopping anapelekwa Nairob kufanya shopping imagine wakiwa huku Nairob kwenye vyumba vya wagen unadhan mdada ataambiwa afanye kitu chochote akatae?Wabadilike kinadada wote au huyo aliyekuwa mawindoni ukaibuka nae??
Wabadilike kinadada wote au huyo aliyekuwa mawindoni ukaibuka nae??
Simu ya whatsapp!!? that's too low... what a turn off
huyo demu anaujaluo bado, she could have some standards
Na wewe mtu hata humfahamu afu anakusimamisha.. unasimama na kumpa lift, mmmmh yatakukuta siku moja