Kwa speed hii sihitaji tena modem katika mambo madogo

Kwa speed hii sihitaji tena modem katika mambo madogo

Eraldius

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
1,123
Reaction score
913
nikiwa natumia simu yangu . pamoja na uwezo mdogo na wa simu, Hapa chin I ni screen short ya downloading speed katika simu yangu
 

Attachments

  • Screenshot_2014-07-22-15-45-36.png
    Screenshot_2014-07-22-15-45-36.png
    29.6 KB · Views: 372
Unatumia app gani kudownload youtube?

Naomba link ikiwezekana
 
Unatumia app gani kudownload youtube?

Naomba link ikiwezekana

Ingia kwenye play store yako andika hivi, Tube mate au Media clips hizo ni application mbili tofauti kwaajili ya kudownload video changua moja kati ya hizo itakayokufaa.!
 
Ingia kwenye play store yako andika hivi, Tube mate au Media clips hizo ni application mbili tofauti kwaajili ya kudownload video changua moja kati ya hizo itakayokufaa.!

Asante sana mkuu
 
Tubemate haipo play store, una install kama 3rd Part application
 
Always simu zina speed kubwa. Hadi low end siku hz zina 21mbps
 
Back
Top Bottom