ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,597
Kwa hiyo Mimi ninunie mwanamke,watu wa mjini mna matatizo sana ndio maana Ndoa na mitoto yenu ni hovyo Haina maadili.Mwanamke hapigwi mkuu, tena usijaribu kupiga mke wako. Ukiona ghadhabu imekuwa kubwa tafuta mahali uende kupunga upepo kidogo, then ukirudi utaamua muongee au uzidi kupiga kimya.