Kwa sisi Wanaume ambao hatupendi kupiga Wake zetu

Inawezekana mwanamke wako alikuwa amepania kukuchokoza Hadi umzabue vibao ..ajabu umem dissapoint ....na unaona uko sahihi...

Huwajui wanawake wewe...
Kweli,wakati mwingine mwanamke anaweza kupania jambo,mfano:anahitaji kisingizio cha kwenda kuchepuka kwa muda kadhaa lakn sabab ya kutoka hana,anaplan kukuchokoza lengo umzabe apate ticket ya kuondoka,woman mmmmh
 
Ondoa ufala wako hapa,usinipangie wewe ndio utaishia kukaa kama digidigi kwenye nyumba yako.kwa kuogopa kinyago ulichochonga mwenyewe.

Kiufupi huna akili na wewe ni dhaifu sawa na huyo anaelia Lia humu 🤣🤣
Miccm kwa ubishi imeshindikana, yaani unadhani ubondia kwa mkeo ndio urijali, una inferiority complex ndio maana kidogo tu unakuwa Evander.

Acha tabia ya kudunda mkeo ewe chawa wa ccm.
 
Miccm kwa ubishi imeshindikana, yaani unadhani ubondia kwa mkeo ndio urijali, una inferiority complex ndio maana kidogo tu unakuwa Evander.

Acha tabia ya kudunda mkeo ewe chawa wa ccm.
Si ajabu mashoga wapo ni sababu ya familia kuongozwa na vivaa suruali dhaifu kama wewe.

Inatakiwa mtoto wako wa kike aje kuolewa na makabila ya Wanaume harafu alete usenge wa baba hajawahi nipiga ila afunzwe adabu.
 
Jaman Habari zenu wanajamvi,,,,ngoja nishuke kwenye punda ili tuongee vizuri



Jamani hapa juzi kuna kitu alifanya nikawa namkemea(kufoka) shemeji yenu tena kwa kumtunzia heshima nilisubiri tumebaki nyumba nzima sisi wawili tu lakini nayeye akawa anajibu mpaka hasira zikanipanda mpaka nikamkuda nusu nimkande lakini nikakumbuka kiapo nilichojiwekea kuwa sitampiga mwanamke na mama yangu alinisisitiza hilo swala la kutompiga mwanamke basi nikamwacha Lakini nusu ale makofi kwa mara ya kwanza,,,


Swali kwenu wanamazengo ninyi mnatumia njia gani kwa mwanamke ambaye unamkemea kitu naye anakuja juu nawewe hautaki kumkanda (kumpiga) ,,ninyi wenzangu mnatumia njia gani ili ajue kwamba amekuudhi kupitiliza
Mwanamke siyo wa makofi

Nikiwa na hasira akanivuruga nikamwambia acha

Akajifanya hasikii natoka nje nafunga mlango nachuma fimbo nakuja nayo namwambia utachapwa Sasa hivi kama baby Kwa hiyo kalale utulie

Hahaha

Akileta ujinga nachapa tena Huwa navimba huwezi amini ni mie

Alishashika adabu

Akijua tu amekosea ananywea kweli kweli na mie Wala sisumbuki naye

Ajifanye mjuajia Sasa hiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom