majigambo Member Joined Dec 13, 2013 Posts 20 Reaction score 8 Jan 22, 2014 #1 Habari za leo wakuu, Nimekuja leo hapa nikiwa na suala la kutafuta mke.Akina dada aliye tayari ani pm. Umri wangu 34yrs.
Habari za leo wakuu, Nimekuja leo hapa nikiwa na suala la kutafuta mke.Akina dada aliye tayari ani pm. Umri wangu 34yrs.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 22, 2014 #2 subiri kidogo, cashflow yako ipo vipi?
majigambo Member Joined Dec 13, 2013 Posts 20 Reaction score 8 Jan 22, 2014 Thread starter #3 hahahah 2.1m p month...
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 22, 2014 #4 majigambo said: hahahah 2.1m p month... Click to expand... oooh, hiyo ni baada ya deductions zote au?
majigambo said: hahahah 2.1m p month... Click to expand... oooh, hiyo ni baada ya deductions zote au?
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Jan 22, 2014 #6 Weka kabisa unamiliki nini,kama gari ya aina gani na rangi yake pia na kama ni nyumba iko mtaa gani na rangi yake pia
Weka kabisa unamiliki nini,kama gari ya aina gani na rangi yake pia na kama ni nyumba iko mtaa gani na rangi yake pia
N NKANOELI JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 203 Reaction score 61 Jan 22, 2014 #7 haaaaaaa. haya mm napita sina vigezo :A S thumbs_up:
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,845 Reaction score 52,251 Jan 22, 2014 #8 Mdogo sana. majigambo said: habari za leo wakuu. Nimekuja leo hapa nikiwa na suala la kutafuta mke... akina dada aliye tayari ani pm umri wangu 34yrs. Click to expand...
Mdogo sana. majigambo said: habari za leo wakuu. Nimekuja leo hapa nikiwa na suala la kutafuta mke... akina dada aliye tayari ani pm umri wangu 34yrs. Click to expand...
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Jan 22, 2014 #9 what are u doing dude? .
M Misa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2013 Posts 838 Reaction score 135 Jan 22, 2014 #10 Wa miaka 38 atakufaa?
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,689 Jan 22, 2014 #11 Mbona maelezo madogo,haya wewe ukoje haiba yako. kabila jieleze. Hilo jina majigambo lina uhusiano wowote na tabia yako?
Mbona maelezo madogo,haya wewe ukoje haiba yako. kabila jieleze. Hilo jina majigambo lina uhusiano wowote na tabia yako?
mwallu JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 6,787 Reaction score 4,215 Jan 22, 2014 #12 je,unamiliki bastola?
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Jan 22, 2014 #13 majigambo said: habari za leo wakuu. Nimekuja leo hapa nikiwa na suala la kutafuta mke... akina dada aliye tayari ani pm umri wangu 34yrs. Click to expand... Mkuu... mbona CV haina nyama??? jazia jazia basi....
majigambo said: habari za leo wakuu. Nimekuja leo hapa nikiwa na suala la kutafuta mke... akina dada aliye tayari ani pm umri wangu 34yrs. Click to expand... Mkuu... mbona CV haina nyama??? jazia jazia basi....
Fundi mahiri wa Ujenzi JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 4,725 Reaction score 3,704 Jan 22, 2014 #14 mwallu said: je,unamiliki bastola? Click to expand... Mhhhhhh naona unajihami dada! bastola huwaadhibu wasaliti lkn
mwallu said: je,unamiliki bastola? Click to expand... Mhhhhhh naona unajihami dada! bastola huwaadhibu wasaliti lkn
Fundi mahiri wa Ujenzi JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 4,725 Reaction score 3,704 Jan 22, 2014 #15 charminglady said: Mkuu... mbona CV haina nyama??? jazia jazia basi.... Click to expand... Watamani akidhi vigezo vyako. waweza mpm for more information
charminglady said: Mkuu... mbona CV haina nyama??? jazia jazia basi.... Click to expand... Watamani akidhi vigezo vyako. waweza mpm for more information
T Tata JF-Expert Member Joined Dec 3, 2009 Posts 5,799 Reaction score 2,733 Jan 22, 2014 #16 majigambo said: habari za leo wakuu. Nimekuja leo hapa nikiwa na suala la kutafuta mke... akina dada aliye tayari ani pm umri wangu 34yrs. Click to expand... Mdogo wangu kwa maelezo haya itakuwa ngumu kumpata mtani wa jadi aliye serious. Weka na swagga kidogo ili wakuelewe.
majigambo said: habari za leo wakuu. Nimekuja leo hapa nikiwa na suala la kutafuta mke... akina dada aliye tayari ani pm umri wangu 34yrs. Click to expand... Mdogo wangu kwa maelezo haya itakuwa ngumu kumpata mtani wa jadi aliye serious. Weka na swagga kidogo ili wakuelewe.
T Tata JF-Expert Member Joined Dec 3, 2009 Posts 5,799 Reaction score 2,733 Jan 22, 2014 #17 majigambo said: hahahah 2.1m p month... Click to expand... Sasa unaanza kueleweka dogo. Tupia swagga zaidi utawaona wakiongezeka tu.
majigambo said: hahahah 2.1m p month... Click to expand... Sasa unaanza kueleweka dogo. Tupia swagga zaidi utawaona wakiongezeka tu.
S sunshine11 Member Joined Dec 7, 2013 Posts 42 Reaction score 15 Jan 22, 2014 #18 Mim nipo tayari lakini usiwe mchagga wala muhaya pls...mweee
A azalea Member Joined Jan 16, 2014 Posts 61 Reaction score 14 Jan 22, 2014 #19 mwallu said: je,unamiliki bastola? Click to expand... Kwi kwi kwi!U4SARO
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Jan 22, 2014 #20 pmoses95 said: Watamani akidhi vigezo vyako. waweza mpm for more information Click to expand... Vigezo vyangu hatoviweza mkuu... Kwana we na TemboCard, pili kabati la mbeho, tatu awe na mkoko wa haja kama wa huyu jirani yangu hapa nee nikisema atachanganyikiwa!! ngoja niishie hapa!!!!!!!
pmoses95 said: Watamani akidhi vigezo vyako. waweza mpm for more information Click to expand... Vigezo vyangu hatoviweza mkuu... Kwana we na TemboCard, pili kabati la mbeho, tatu awe na mkoko wa haja kama wa huyu jirani yangu hapa nee nikisema atachanganyikiwa!! ngoja niishie hapa!!!!!!!