Kwa Shilingi 400/= unaweza kupika maharage mpaka yakaiva ukiwa na jiko la umeme(Induction cooker)

Plaintiff

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
308
209
Hili jiko bwana linataka shule, ukinunua mfano lile la 3500W, ukapika kwa hizo watt zote 3500 basi umeme wa 10,000/= utalast masaa 8 tu.

Lakini kuna siri moja. Na hii nimepractice mimi mwenyewe nyumbani. Unapotumia jiko hili set moto mdogo kuliko yote hasa kama unapika vitu ambavyo haviinvolve kukaanga.

Mfano nikitaka kupika maharage naset 120W tu na mpaka yanaiva nakuwa nimetumia 0.6 units na hayo ni masaa matano tu. Vivyohivyo kwa vyakula vingine pia mpaka ugali.

Achana na masettings makubwa hakika utalifurahia hilo jiko.

Pia kitu kingine ambacho ninakipenda zaidi, hilo jiko lina timer, unaweza kuset kwamba baada ya muda fulani lizime lenyewe. Kuna vitu huwa napasha naviacha jikoni nafunga nyumba naondoka nikirudi vilishapata moto kitambo.

Je mkaa wa 400 unatosha kupika maharage? Gas ya 400 je? Karibu uchangie mawazo yako.
 
Weka picha ya hilo jiko.
1705818994605.jpg
 
Hili jiko bwana linataka shule, ukinunua mfano lile la 3500W, ukapika kwa hizo watt zote 3500 basi umeme wa 10,000/= utalast masaa 8 tu.

Lakini kuna siri moja. Na hii nimepractice mimi mwenyewe nyumbani. Unapotumia jiko hili set moto mdogo kuliko yote hasa kama unapika vitu ambavyo haviinvolve kukaanga.

Mfano nikitaka kupika maharage naset 120W tu na mpaka yanaiva nakuwa nimetumia 0.6units na hayo ni masaa matano tu. Vivyohivyo kwa vyakula vingine pia mpaka ugali.

Achana na masettings makubwa hakika utalifurahia hilo jiko.

Pia kitu kingine ambacho ninakipenda zaidi, hilo jiko lina timer, unaweza kuset kwamba baada ya muda fulani lizime lenyewe. kuna vitu huwa napasha naviacha jikoni nafunga nyumba naondoka nikirudi vilishapata moto kitambo.

Je mkaa wa 400 unatosha kupika maharage? gas ya 400 je? Karibu uchangie mawazo yako.
Hayo maharagwe nachemsha chini ya dakika 30 yanaiva
 
Back
Top Bottom