Kwa RNB tusihangaike kutoa maua hovyo Ben paul ndiye king

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,748
Reaction score
28,138
I salute you kinsmen.

Sipo hapa kuwavunjia heshima manguli wengine walioimba RNB kabla ya benpol.

Hao kina Rama dee walikuwepo sawa lakini walikosa consistency ndio maana..

Ila benpol ni kichwa kikubwa sana akiamua kuimba anaweza sana tu

Tukumbuke alikuwaga kwenye label ya wagumu tu iliyokuwa inamilikiwa na producer Duke nadhani ni MLAB

Na yeye na grace matata ndio pekee walikuwa wanaimba pale wasanii wengine wote waliobaki kina stereo na wenzake walikuwa wanachana tu.

Kwahiyo Duke alikuwa anatengeneza midundo mingi ya genre ya hip hop..

Lakini Ben pol akawa anapita nayo tu
Refer hii "nikikupata"
Hili lilikuwa Dundo kali sana hata benpol mwenyewe anajua beat tu la hip hop ila akalifanya liwe sweet RNB song .

Halafu kuna hii pia "maneno" nayo beat la Duke ni hip hop tu bado jamaa akaua vizuri tu.

Huyu jamaa alishindikana kwa kweli .

Haya bado akaja na hii " pete" ingawa sidhani kama alitolea video yake

Bado hujaweka hapo " samboira" bado hujaweka moyo mashine
Bado hujaweka "jikubali"

Halafu kuna hii " wapo" unaizingatia ila?

Na hata alizoshirikishwa bado alifanya vizuri pia kwenye hizo collaboration.

Kwa kweli apewe maua yake kabla hajafa ana kichwa kizuri cha RNB

Nawashangaa mnaodai jux ni mkali wa RNB

Labda tuseme anajua anazo nyimbo chache tena mwanzo mwanzo tu sikuhizi ameswitch anaimba amapiano zake hiyo RNB gani?

Its Pancho
 
Jux alitoa ngoma kali mwanzoni tu na hapo katikati
Sisikii
Nitasubiri
Nikuite nani
Utaniua
Uzuri wako

Nk sikuhizi kaikimbia ameswitch
 
I salute you kinsmen.

Sipo hapa kuwavunjia heshima manguli wengine walioimba RNB kabla ya benpol.

Hao kina Rama dee walikuwepo sawa lakini walikosa consistency ndio maana..

Ila benpol ni kichwa kikubwa sana akiamua kuimba anaweza sana tu

Tukumbuke alikuwaga kwenye label ya wagumu tu iliyokuwa inamilikiwa na producer Duke nadhani ni MLAB

Na yeye na grace matata ndio pekee walikuwa wanaimba pale wasanii wengine wote waliobaki kina stereo na wenzake walikuwa wanachana tu.

Kwahiyo Duke alikuwa anatengeneza midundo mingi ya genre ya hip hop..

Lakini Ben pol akawa anapita nayo tu
Refer hii "nikikupata"
View attachment 3419691 Hili lilikuwa Dundo kali sana hata benpol mwenyewe anajua beat tu la hip hop ila akalifanya liwe sweet RNB song .

Halafu kuna hii pia "maneno" nayo beat la Duke ni hip hop tu bado jamaa akaua vizuri tu.
View attachment 3419692
Huyu jamaa alishindikana kwa kweli .

Haya bado akaja na hii " pete" ingawa sidhani kama alitolea video yake
View attachment 3419693

Bado hujaweka hapo " samboira" bado hujaweka moyo mashine
Bado hujaweka "jikubali"

Halafu kuna hii " wapo" unaizingatia ila?
View attachment 3419694

Na hata alizoshirikishwa bado alifanya vizuri pia kwenye hizo collaboration.
View attachment 3419695

Kwa kweli apewe maua yake kabla hajafa ana kichwa kizuri cha RNB

Nawashangaa mnaodai jux ni mkali wa RNB

Labda tuseme anajua anazo nyimbo chache tena mwanzo mwanzo tu sikuhizi ameswitch anaimba amapiano zake hiyo RNB gani?

Its Pancho
Ni kweli ni vile tu Wafrica hatupendi kua appreciate kazi za wengine.

Ben Paul aliupiga mwingi sana
 
Hii ngoma ya Mwanadamu amezaliwa anasema jina la Wimbo?
 
Baada ya kutoa nyimbo kali kuna Mdada Mzungu alimzimikia sana. Akamchukua Ben Paul hadi Ulaya wakaoana. Nasikia waliachana.

Baada ya hapo Mwamba akapotea.
Hivi kwa sasa kwanini simsikii kidogo?

Kiukweli enzi hizo alitupa moyo sana wa kupambana huku mademu wakituzingua tulikuwa tunajipoteza na vinyimbo kama hivi kwa Subwoofer za mchongo
 
Baada ya kutoa nyimbo kali kuna Mdada Mzungu alimzimikia sana. Akamchukua Ben Paul hadi Ulaya wakaoana. Nasikia waliachana.

Baada ya hapo Mwamba akapotea.

Kiukweli enzi hizo alitupa moyo sana wa kupambana huku mademu wakituzingua tulikuwa tunajipoteza na vinyimbo kama hivi kwa Subwoofer za mchongo
Niliskia walizaa na mtoto kabisa
 
JAMANI NYIE JAMAA MMEWAHI KUMSIKILIZA RAMA DEE KWELI🤔
 
Back
Top Bottom