Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,463
Sasa mkuu wewe unapenda wachomoke au wasichomoke? mimi nataka wasichomoke.Wadau, wale tuliofuatilia vema Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba, ni wazi kwamba kwa mapendekezo ya rasimu, CCM inakufa. Kuruhusu wagombea binafsi kuanzia Kitongoji hadi Taifa, kunatoa mwanya kwa wanaCCM wengi wasiopenda yanayoendelea ndani ya chama hicho, wawe huru kuamua pa kwenda. Aidha, mapendekezo haya ya Katiba mpya yanaleta utaifa zaidi ya u-chama. Sioni CCM watachomoka vipi.Sijui wengine mna mtazamo gani.
Wewe nawe unajifanya Mwandishi lakini uandishi wako uko shallow kupita maelezo.
Nyie ndio maripota wa matukio halafu mnajiita wandishi.
Weka chuki binafsi pembeni. Tujadili mambo ya msingi. Heri ninayejifanya mwandishi kuliko anayefanywa kwa kuwa hayuko shallow!
Humo kwenye red ni kipengele cha ngapi cha rasimu ya katiba mpya?
Wadau, wale tuliofuatilia vema Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba, ni wazi kwamba kwa mapendekezo ya rasimu, CCM inakufa. Kuruhusu wagombea binafsi kuanzia Kitongoji hadi Taifa, kunatoa mwanya kwa wanaCCM wengi wasiopenda yanayoendelea ndani ya chama hicho, wawe huru kuamua pa kwenda. Aidha, mapendekezo haya ya Katiba mpya yanaleta utaifa zaidi ya u-chama. Sioni CCM watachomoka vipi.
Sijui wengine mna mtazamo gani.
Na hao ndio waandishi wetu. Hapo anapiga mahesabu ya kupiga dili kwa wagombea.Humo kwenye red ni kipengele cha ngapi cha rasimu ya katiba mpya?
We jamaa sikujua kama u zezeta kiasi hiki.Haya majibu ni kwa malebarali tu!
Humo kwenye red ni kipengele cha ngapi cha rasimu ya katiba mpya?
Umeongea pointi nzuri sana. Nasikia huyu ni mwandishi wa habari? Ni kweli? Kama ni kweli basi kazi tunayo Watanzania, kuwa na wanahabar wa upeo wa huyu...huyu mleta mada ni mweupe wala usihangaike kujibizana naye utapoteza muda wako bure...saizi yake ni hawa vijana wetu ambao matokeo yao ni mabaya
Wewe nawe unajifanya Mwandishi lakini uandishi wako uko shallow kupita maelezo.
Nyie ndio maripota wa matukio halafu mnajiita wandishi.
Umeongea pointi nzuri sana. Nasikia huyu ni mwandishi wa habari? Ni kweli? Kama ni kweli basi kazi tunayo Watanzania, kuwa na wanahabar wa upeo wa huyu...