Kwa Rais Magufuli tu - Must Read 2017

Una jingine? 2020 hawa ccm hawanisumbui, wanajua hata nusu yao ikibidi nitalala nao mbele
 
jamaa zaidi ya faru john. amethubutu kutaifisha shuke inayomilikiwa na CCM na kuirudisha serikalini. hata WANA CCM wanahali ngumu
 
Bahati mbaya inaruhusiwa like moja tu!
 
Mleta post kapost nahungu tupu, sisi ndiyo wafanya kazi, tunampenda JPM kwa akili zetu na miyo yetu yote kwa 100% ikiwezekana mara 1000 ya zamani.
 
Naomba namba ya JPM nijitoe mhanga nimfowadie haka ka walaka kazito sana, au nipe email take maana mimi sina cha kupoteza iwe milioni saba, kifungo au vyote viwili.
Si unaye kwenye avatar?
 
sidhani Kama ataufanyia kazi huu waraka. wafanyakazi wa nchi hii tumekuwa kama watoto wa kambo anayelelewa na baba mkali kweeeli. Mungu atatusaidia kuona suluhisho
 
Raisi anafanya mengi mazuri lakini hili la kuamuru watendaji wake wasilipe madai ya PPF ya wastaafu wa ATCL hata pale mahaka inapo ipa PPF amri ya kukamata mali za ATCL na kuziuza kufidia madai hayo mimi sikubaliani nawe. Una minya mamlaka ya mahakama na kwa kuwa viongozi wote wanakuogopa basi haki sasa haitendeki mahakama haina sauti.
 
Umepoteza muda kuandika upumbavu huu??? Ni wewe na mkeo tu hamumpendi JPM. Madili yako yamezibwa na bado utaisoma namba,!!
 
Hapa pana maumivu makubwa, na haonyeshi dalili ya kushughulika maslahi. linakatisha tamaa sana hilo.
 
No Research No Right To Speak, Huo Utafiti Wako Wa 70% Ya Watumishi Kumchukia JPM umeitoa wp? what was your sample size?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…