Kwa raha zao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa raha zao!

Discussion in 'Jamii Photos' started by GIUSEPE, Sep 20, 2012.

 1. GIUSEPE

  GIUSEPE JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  MBWA.jpg

  Ungekuwa wewe ungekubali hii lifti?
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,665
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,171
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Wote watatu ni wanyama tu ..au kwa kuwa huyo mmoja hajui kuongea ndio aonewe?
   
 4. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwani si lifti kama una haraka unapanda tu.
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,314
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Beggars can't choose, lift uombe hafu uchague sehemu ya kukaa? Watu wana ratiba zao bwana. Huyo mwingine ambae huwasiliana kwa kutumia mkia ana haki zake na kumbuka ni PETTY ANIMAL!!!! Thoug I'm kidding lakini ukweli uko palepale!!!!
   
 6. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,522
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kwa kuwa nina shida haina tatizo kuchukua lifti
   
 7. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,541
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Hutaki tembea kwa miguu.....si umetaka cha uvunguni??
   
 8. M

  MADIDINGWA Senior Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mimi napanda tu, si nina shida bwana, hapo umeshakaa kituoni takribani nusu saa ukiangalia muda unachelewa kazini, so mi ikitokea napanda tu. na mimi kwa raha zangu niko nyuma pekee yangu.
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,970
  Likes Received: 604
  Trophy Points: 280
  Jaribu kukaa hapo mbele uone huyo dog atakachokufanya
   
 10. peri

  peri JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mkuu mweneye shida hachagui
   
 11. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  inategemea, kama uliomba lift ufike unapokwenda, unapanda tu
  lakini kama ulikuwa unataka majungu na kugombana na mmiliki wa gari, mshushe huyo DOG!
   
Loading...