Kwa picha hii, Maalim Seif alitaka kutuambia nini?

Kwa picha hii, Maalim Seif alitaka kutuambia nini?

Sioni maajabu yoyote hapa kwenye picha. Ninachoweza kufikiria inawezekana alikua anatembezwa katika maeneo tofauti hapo ndani ya jengo akaamua kupiga picha kwa kumbukumbu na kushare. Kama wengi wanavyofanya kawaida tu. Kwa maoni yangu.
 
Ninakumbuka shuleni nilipewa nafasi ya kuhutubia na kusoma risala kwa niaba ya wanafunzi wenzangu ihali kaka mkuu akiwekwa bench. Siku hiyo nikajifunza kwamba the World is not fair...
Yeah, life sometimes can be hurtful and not always fair.
 
Did your teacher also told you that "one picture is worthy 10k words" is a Chinese proverb? Ni uongo. It's an English one. By the way, kama Bw. M. Seif alilidhia hiyo picture yake ndani ya UN HQ, isambazwe kny mitandao kama sehemu ya ziara yake US basi inabidi ajitathinini kama nia yake ya kuiongoza Zanzibar ni madaraka au kutumikia watu. Travelling all the way to NY kutangaza revolt against the CCM government na kuishia kufanya interview na kituo kidogo kama VOA ni desperation.
 
Mkuu rudi tena kwa mwalimu wako wa shule ya awali kuna jambo ambalo hukulisoma na kulielewa rudi angalau usome masomo ya jioni maana wee bado sana!
Kama wewe unafahamu kama kuna jambo silifahamu, basi badala ya kuniambia nirudi kwa mwalimu ingekuwa vizuri ukanisaidia kwa kunifundisha!
 
Mkuu...nashangaa tu huo ukumbi umejaa utupu. Najiuliza
a) hawakutoa taarifa kuwa wanakuja?
b) walitoa taarifa lakini zikapuuziwa?
Huo ukumbi kama hakuna mkutano huwa kama kivutio kwa wale wanatembelea ofisi za UN.

Maalim Seif na time yake waliamua kutembelea na kuhutubia viti kama picha inavyoonekana.
 
Jitu kubwa na kitambi kabisa linaandika upuuzi kama huu?!!

Hivi, ni nani duniani ASIYEMJUA mshindi halali wa Oct 25, 2015?!

Kama sio njaa na kujitoa ufahamu ni nini?

Aya, nenda zako ukauze kofia, t-shirt, na kanga pale barabarani LUMUMBA nje ya ofisi za CCM.
 
Akirudi pemba atawaambia wapemba amehutubia umoja wa mataifa japo atasahau kuwaambia ukumbi haukuwa na mtu hata mmoja. [emoji28]
Kuna baadhi ya watu ninaamini siku akirudi watapanga foleni barabarani wakimshangilia wakiamini amehutubia Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa.
 
Tukiachana na itikadi, kuna ujumbe mzito sana kwenye post ya mtoa mada
Tatzo la Vijana wa CDM hili wao hawalioni... wao kila baya kwo nikulikingia kifua N MATUSI JUU....ukiiangalia hii picha ina maana sana kwa SEIF....Na maana mojawapo kubwa kabsa ni kuja kuitumia as a POLITICAL GAIN akirudi ZANZIBAR....hapo atawaaminisha wafuasi wake ya kuwa niliihutubia umoja wa mataifa
 
Back
Top Bottom