Kwa nini???


Read Satanic Verse bro...
 
Hata wewe wauliza swali kama hili?
 

Hata wewe kumbe una hoja za ajabu kama hizi? Nenda pale Victoria mie nafanyia service magari yangu pale na kila siku zinapigwa nyimbo za kwaya na wahudumu wengine wanakwambia bwana yesu asifiwe na mimi muislamu sasa na mie nikuulize kwanini!!!! Hii tanzania kila mtu ana huru wa kufanya analolitaka mradi havunji sheria ya nchi. Unanipa mashaka sana inaelekea karibuni nitaanza kukuweka katika kundi la wale wale wenye chuki na uislamu umenisikitisha mkuu.
 
Kuna muIslam mmoja tu duniani ambaye anaweza kukutolea siri za imani hii ya hawa jamaa zetu naye ni Salmani Rashidie.
Karibu tukupe siri, ya kuwa Mwenyezi Mungu ni mmoja na hakuzaa wala hakuzaliwa na hana anacho fanana nacho. Salman Kafichwa hutamuona!
 
salman sio muislam, ni kafiri aliejifanya muislam. Laanatullah ilaih. Mungu amuweke fi dark asfai mi nnar jahhanam. Khalidina fiha abadan.
 
Ndugu Bruce Lee alijibu vizuri. Wenye biashara hii ya mafuta wengi ni Waislamu na hivyo kwa imani yao ni thawabu kubwa kujenga msikiti sehemu ambayo kuna watu wengi, wasafiri, ili wapate sehemu ya kuswalia ikiwa ni pamoja na wao wenyewe. Na tumeambiwa hapa pia katika vituo vinavyomilikiwa na baadhi ya Wakristo nao wamejenga makanisa kwa ajili hiyo hiyo ya ibada. Hakuna jingine, tuache hisia mbaya katika dini zetu.

Lakini pia katika vituo vingi kuna Super Markets. Je hizi wamiliki wake ni QWaaislamu au Wakristo? Tafakari.

mkm
 
Wanaleta kwa makusudi ili waseme yaliyo moyoni mwao (kejeli) Inshallaah wanatusaidia kuwaelimisha wengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…