Wakuu mimi kuna kitu kinanishangaza sana this days.zamani kidogo kwenye tendo la ndoa na mpenzi wako,ni lazima au ilikuwa ni desturi ukishusha lazima akuwahi na kitambaa ili akusafidhe dushee.lakini siku hizi dada zetu hawana habari ukishamaliza ni wewe mwenye ndio uende toilet ukajisafishe.hii imekaaje wakuu nawasilisha