Huyo Mungu hajui wajibu wake wa kutimiza mahitaji ya watu hadi aombwe?Swali fikirishi.
Kusali ni njia ya kuambatana na yale ambayo Mungu amepanga. Unaweza ukapishana na mpango wa Mungu kama utatembea nje ya kusudi lake, hivyo sala inakusaidia kubaki katika njia sahihi.
Huyo Mungu hajui wajibu wake wa kutimiza mahitaji ya watu mpaka asaliwe?Unaweza kuuliza . Je Kama Mungu ameshaona kuwa hata ukisali bado huko mbelen utateleza . Je kwanini tunasali?.
Mungu ana mipango yake na ww. Na yeye ndio anajua. Kwahiyo Ni fumbo.
Hivyo ni bora kusali . Na kumuachia Mungu hayo mengine ili mapenz yake yatimizwe hapa duniani na huko mbinguni.
Kwa hiyo huyo Mungu anasahau mahitaji ya watu mpaka akumbushwe kwa sala na maombi ya watu?Sala ni Maongezi kati ya mwanadamu na Mungu.
Tunapiga story na Sir God kupitia sala.
Na kwakuwa binadamu hajakamilika, bado tunayo mahitaji mengi tuu ambayo pamoja na kuwa Mungu anayajua lkn yapo mengine tunamkumbusha na mengine tunamuomba atuongezee.
Pia Mungu yupo sirini na unapoongea nae na wewe unatakiwa kuwa sehemu iliyotulia.
Sio kama zile kelele za walokole wale ni kama wapo kilabuni tuu.
πππππππππππππ
Sasa kwa nini watu waliolowea kwenye dini hawana mafanikio kama wale ambao hawashindi makanisani..Swali fikirishi.
Kusali ni njia ya kuambatana na yale ambayo Mungu amepanga. Unaweza ukapishana na mpango wa Mungu kama utatembea nje ya kusudi lake, hivyo sala inakusaidia kubaki katika njia sahihi.
Unaweza kuuliza . Je Kama Mungu ameshaona kuwa hata ukisali bado huko mbelen utateleza . Je kwanini tunasali?.
Mungu ana mipango yake na ww. Na yeye ndio anajua. Kwahiyo Ni fumbo.
Hivyo ni bora kusali . Na kumuachia Mungu hayo mengine ili mapenz yake yatimizwe hapa duniani na huko mbinguni.
Kwa nini na wewe husali? Kwa nini hufanyi maombi?Kama Mungu tayari ana mipango yake juu ya maisha yako na mipango yake iko sahihi kwa sababu Mungu muweza wa yote hajawahi kukosea, kwa nini sasa unasali? Kwa nini unafanya maombi?
Unajaribu kubadilisha mipango ya Mungu? Shame on you
Mzee wa kamba na vilaza huwa unawaokota sanakwanza sala ni kama meditation, sasa kwa nini watu wanafanya meditation? imekuwa proven kisayansi kabisa kwamba meditation inasadia kiafya, hivyo hiyo pia ni moja kati ya sababu za kusali, sala sawa na mediation, ina the same effect and meaning.
unaposali you are in the zone ...
Huyo Mungu hajui mahitaji yako hadi umsalie?
Huyo Mungu hajui mahitaji yako hadi aangalie moyoni mwako?Mahitaji ni mengi
kusali ni kuyawekea kipaumbele na Mungu atajibu maombi na kubariki
Mungu anaangalia moyoni mahitaji yako kwa njia ya sala
Huyo Mungu anashindwaje kufanya watu wasiwe mbali nae?wengi wapo mbali na Mungu na Mungu hajui wanachotaka wengi wanabaki wakiteseka
Nimeweka alarm.Hivi huwa unanotice vipi hizi mada unafika on timeπ€
Kuna mtu nahisi huwa anakupigia simu! U cannot be turned on like this lol πNimeweka alarm.
πΉ
πππππKwa hiyo huyo Mungu anasahau mahitaji ya watu mpaka akumbushwe kwa sala na maombi ya watu?
Hivi huyo Mungu wenu anajielewa kweli?
Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wakamilifu tu?πππππ
Hasahau na ndio maana anasema, "Nalikujua tangu ukiwa tumboni mwa Mama yako". Tafsiri hiyo ni kwamba anatujua vyema na kwamba tunapokuwa karibu naye kwa kuyatenda yampendezayo nae anakuwa karibu nasi vivyo hivyo.
Na kinyume chake pia unapokuwa mbali nae nae pia anakuwa mbali nawe.
Bahati mbaya mwanadamu si mkamilifu mbele za Mungu ndio maana tunajifungamanisha nae mara kwa mara kupitia sala.