Sawa mawazo yako ila tambua kuthamini binadam wenzako ni mhimu
Je unauhakika hatukutoa michango?Kwa nini ikuume wewe kuiliko aliyetoa fedha na mali? Mbona yeye halalamiki? Tumeona Balozi wa Uingereza akiwa na raisi Magufuli huko Kagera mbona yeye na nchi yake hawajalalamikia misaada yao kutumiwa kwenye Miundo mbinu yetu?
Umejuaje kuwa hawakutoa? Kumbuka hata elfu moja ina thamani kubwaKwa nini ikuume wewe kuiliko aliyetoa fedha na mali? Mbona yeye halalamiki? Tumeona Balozi wa Uingereza akiwa na raisi Magufuli huko Kagera mbona yeye na nchi yake hawajalalamikia misaada yao kutumiwa kwenye Miundo mbinu yetu?
Unajuaje kama hawajatoa? Umeoneshwa na roho au? Acha unafiki na kujipendekeza. Na wanaojipendekeza always huwa si watu wazuri,kwahiyo hujipendekeza kutafuta ulinzi.Kwa nini ikuume wewe kuiliko aliyetoa fedha na mali? Mbona yeye halalamiki? Tumeona Balozi wa Uingereza akiwa na raisi Magufuli huko Kagera mbona yeye na nchi yake hawajalalamikia misaada yao kutumiwa kwenye Miundo mbinu yetu?
Unajuaje kama hawajatoa? Umeoneshwa na roho au? Acha unafiki na kujipendekeza. Na wanaojipendekeza always huwa si watu wazuri,kwahiyo hujipendekeza kutafuta ulinzi.
Kweli Mungu alitaka atuonyeshe aina ya rais tuliye naye. Ametuonyesha kwamba tuna rais chukiTangu kutokea kwa tetemeko la ardhi huko Mkoani Kagera michango mingi sana imetolewa ya hali na mali, lkn kinachonishangaza waliotoa michango mingi ya mali kama fedha na vifaa vya ujenzi ambao wengi wao ni wageni kama Ofisi za Kibalozi, nchi jirani kama Uganda na Kenya hawalalamiki na wala hawajalalamika na kuhusu michango yao ilivyotumika na walisha move on!
Lkn watu ambao hawajatoa hata shilingi wala hata tu kujali maisha ya wana Kagera leo wanahoji matumizi ya misaada, watu ambao (chadema) kwanza walifurahia na kusherehekea kutokea kwa tetemeko na walikuwa wanasema Mungu kamuadhibu Raisi Magufuli, iweje leo hii wanajifanya ni wataalamu wa kuipangia Serikali jinsi ya kutumia misaada iliyotolewa na wasamalia wema ambao wao walisha-move on?
Kweli Mungu alitaka atuonyeshe aina ya rais tuliye naye. Ametuonyesha kwamba tuna rais chuki
Ndiyo.Unajua elfu moja yangu ina thamani kiasi gani?Sasa wewe utoe 1000 ikuume zaidi kuliko aliyetoa mabilioni?