Kwa nini watanzania wengi wanatamani 2015 ifike haraka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini watanzania wengi wanatamani 2015 ifike haraka?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dumelambegu, Feb 16, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jamani,
  Hicho ndicho nachokiona mitaani. Wananchi wengi wanatamani 2015 ifike haraka. Inawezekana kweli wamechoka na kikwete kiasi hicho? Kama ni kweli, je,
  watakubali kuirejesha tena ccm madarakani au wakiona Tshirt na kofia akili inayumba tena?
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Ugonjwa wa kusahau kwa waTz haujaisha na hautakwisha mapema kiivyo. Wengi hawapigi kura, waoga hata kwa haki zao wenyewe na wanaopiga kura, hawathamini kura yao.
  Ni kutoa wito kwa vyama mbadala {upinzani} kutoa elimu ya kutosha ili watu wapige kura kwa wingi.
   
 3. Ney wa Barca

  Ney wa Barca JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Babkey nakubaliana na ww kuwa wa Tz wana kaugunjwa ka kusahau, pia ni wepesi kudanganyika hasa ikifikia 2015 kuanzia January ila la msingi vyama pinzani watoe elimu ya kutosha na ikiwezekana wapige kambi huko vijijini zaidi maana sisi wa mjini kwa kiasi kukubwa tumeshakuwa na uelewa. kwa tathmini niliyofanya mwaka jana niligundua kuna vijiji ambavyo havijui kama kuna vyama pinzani zaidi ya ccm kwa hio ni nafasi ya vyama hivyo kujipanga na kutoe elimu huko ili wananchi wazinduke na kuongeza wingi wa majimbo na ushindi wa kishindo.
   
 4. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  ata 2015 ikifika bado ccm inaweza kushinda kwani inasemekana wapambe wao wengi hawakupiga kula wakiamini kikwete atashinda tu.Sasa wakipiga si ndo balaa nyingine?
   
Loading...