Habari Jf? Kupenda visivyo vyetu. Hii ni tabia ya watanzania wengi. Mifano: watu wengi wanashabikia mashindano ya mpira wa nje kuliko ya hapa Tz, mwanamke/mwanaume hata akiwa mbaya vipi akioa/olewa watu wengine watamtaka, akija mgeni kutoka nje ya nchi atashobokewa kuliko raia, tukiona kitu kimeandikwa kimetengenezwa Tz tunakitilia mashaka au hatukitaki kabisaa, mtu kuhudumia au kutoa penzi zaidi nje ya ndoa/mahusiano kuliko kwa mwenza wake. Tubadilikeni jamani! Vyetu ndiyo mpango mzima.
mmmmmh kila mtu ana uhuru wa kuchagua anachikitaka bhana ilimradi tu usivunje sheria,kosa ni kwa wale wanaovuka mipaka 'CHOICE IS MINE'
Tunaushamba na ulimbukeni, ukianzisha kitu mtz kinapondwa na wateja utakosa acha kianzishwe na mzungu hata kama bomu basi wateja kibao. Mie dukani kwangu nimemtafuta mzungu koko mmoja ndiye anaye uza, nauzaje?
Sio vibaya kulinganisha vitu vya ndani na vinavyotoka nje ya nchi,lakini pia uwezi kulazimisha mtu apende vitu kutoka ndani atakama ni vibovu eti ni kwakuwa ni vyatanzania,njia mojawapo ya kuondoa ili tatizo nikuwana vitu vizuri na madhubuti kwani hapo ndo tunaweza kujisikia vizuri kupenda vitu vya ndani.Chaguo analo mtu mwenyewe atakama akichagua kisichokufurahisha wewe
mmmmmh kila mtu ana uhuru wa kuchagua anachikitaka bhana ilimradi tu usivunje sheria,kosa ni kwa wale wanaovuka mipaka 'CHOICE IS MINE'
Asnam, hujawahi kupendwa/kumpenda mume wa mtu?
Sasa wewe Bra-joe unatafuta murder cases, hayo ya hospital yanataka watabibu haswa, waliosomea, duka simple bana!Nata umenikumbusha, nataka kufungua hospitali halafu nitafute wazungu machafuchafu wawe madokta labda nitapiga hela kama wewe.
Sasa wewe Bra-joe unatafuta murder cases, hayo ya hospital yanataka watabibu haswa, waliosomea, duka simple bana!