Kwa nini wanawake wengine wanawalea wanaume

kuna x'bf mmoja hata outings alizokuwa ananitoa mie naishia kulipia zote basi siku alinijia na hii kwa sms ''babes unaweza kuniboost shs. 50,000''. Nilimjibu nakusaidia hii tu ila don't make it a habit. mwenyewe akasign off uhusiano kumbe alizoea miteremko alipotoka baada ya kumfuatilia!!

Siku hizi kuna mengi maana kuna wengine tunashindana nao urembo na kina M.A.C sasa kwanini wasipende kulelewa.
 
Hamjasuguliwa nyie..!chezeya 'sambi' a.k.a mshedede, a.k.a mashine a.k.a rungu a.k.a mtarimbo a.k.a .....malizieni wenyewe
 
kila mtu na bahati yake
nahisi wanawake hao wanachanganyikiwa sana na hao jamaa so vijihela kwao sio issue hata kidogo issue ni jinsi hao jamaa wanavyo lamba hadi visivyo lambwa ( anagalizo usijaribu kulamba moto utaungua ulimi)
 
kuna mdau yeye kazi yake kuwaoa hawa wamama hasa wajane,,,,,,hivi karibun anataraj kufunga ndoa na mma mmoja aloachiwa ghorofa kariakoo,,,,,,lakini tayar ana wake wawil wa dizain hiyo mmoja ana nyumba 3 hapa mjini ameachiwa na mumewe aliyefariki,,,,ana carina T.i moja basi anakula bata tu,,,,

Hivi jamani unajisifia kujua kukuna unatembea kifua mbele alafu unaishia kupata wajane lazima ujiulize na ujiangalie mara mbili. Alafu ukiitaji hela unasemaje? Haloo baby nimeishiwa mfyuuuuuuuuuuuu. Na sisi wadada tujirekebishe tukitongozwa tunaringa tukizeeka tunaanza kuwafuga na kulipia service nyooooooooo.
 
Jamani suala la mwanaume kulelewa lina ubaya gani kama wamelidhiana. Mbona kuna mpaka Mitume walilipiwa mahari na wakalelewa leo tunawaheshimu na kuwaweka mbele kama mfano wa KUIGWA.Mie sioni ubaya wowote japo binafsi sipendi kulelewa.
 
Simple, wanaume wengi siku
hzi hawataki kujishughulisha, wanapenda kulelewa so,wanajitegesha kwa
wamama wa watu na wakipata chance tu wanajituma kweli kweli ili walelewe
vizuri.

Lady Jay Dee aliwaimbaga nadhani akawapa kajina kazuri nimekasahau,
mwenye kumbu kumbu atatukumbusha.

wanaume kama mabinti
 
Back
Top Bottom