Heri ya mwaka mpya wana jf woote
Mara nyingi nimekuwa najiuliza maswali mara niendapo kwenye msiba, wanawake huwa wanaliiiia kwenye msiba hata kama aliyekufa hawamjui, mwanamke atalia kwa uchungu na makamasi yatawatoka, lakini wanaume utawaona wapo tuu wanahangaika kufunga maturubai na kazi zingine.
Hivi umewahi kujiuliza kama mimi ni kwanini wanaume hawalii kwenye msiba?
Au kama kuna wataalam watujuze ni kwanini hasa, whyyyyyyy!!!!!!!