Kwa nini wanafunzi wa secondari hawapendi somo la hesabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wanafunzi wa secondari hawapendi somo la hesabu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Issakwissa, Aug 2, 2011.

 1. I

  Issakwissa New Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba tujadiliane ni kwanini sehemu kubwa ya nchi yetu vijana hawapendi somo la hesabu wakati tunajua fika ni kiunganishi cha masomo ya sayansi kama biology,chemistry na physics haya ndio masomo yatakayotupelekea kujikomboa kwenye hii tecohama .kama watanzania tutumie njia gani ili tutoe huu ugonjwa sugu.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,788
  Trophy Points: 280
  waalimu ni wachache na silabasi haijakaa sawa
   
 3. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 600
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Inategemea mbona kwetu cc ma pcm wa kwetu wana wani na walim hakuna vlevle?..juhud tu...za madent
   
 4. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Baba mkwe
   
Loading...