Ukiacha hilo red mengine hayo umeandika kujifurahisha tu!Wengi wa watanzania hawaachi kama walivyokuta, mfano, wakikaribishwa mezani wanavuta viti lakini wanapoondoka hawavirudishi vilivyokuwa, wakiingia uhani ndio usiseme tena, wakipanga chumba au nyumba wanaacha chafuu, akiarikwa - self-service akimaliza kula harudishi sahani alipotoa bali anaweka chini au pembeni ya kiti, baada ya kula kama ni kwa mkono hanawi na sabuni na kukausha mikono, akiajiriwa siku ya kustaafu au kuhama basi lazima aibe; na mengine mengi. Je sababu ni nini jamani?!
Wengi wa watanzania hawaachi kama walivyokuta, mfano, wakikaribishwa mezani wanavuta viti lakini wanapoondoka hawavirudishi vilivyokuwa, wakiingia uhani ndio usiseme tena, wakipanga chumba au nyumba wanaacha chafuu, akiarikwa - self-service akimaliza kula harudishi sahani alipotoa bali anaweka chini au pembeni ya kiti, baada ya kula kama ni kwa mkono hanawi na sabuni na kukausha mikono, akiajiriwa siku ya kustaafu au kuhama basi lazima aibe; na mengine mengi. Je sababu ni nini jamani?!
Labda unazungumzia huko kwenu Manzese, huku kwetu ni full ustaarabu.Wengi wa watanzania hawaachi kama walivyokuta, mfano, wakikaribishwa mezani wanavuta viti lakini wanapoondoka hawavirudishi vilivyokuwa, wakiingia uhani ndio usiseme tena, wakipanga chumba au nyumba wanaacha chafuu, akiarikwa - self-service akimaliza kula harudishi sahani alipotoa bali anaweka chini au pembeni ya kiti, baada ya kula kama ni kwa mkono hanawi na sabuni na kukausha mikono, akiajiriwa siku ya kustaafu au kuhama basi lazima aibe; na mengine mengi. Je sababu ni nini jamani?!