Kwa nini VPL haionyeshwi kwenye DSTV

Kwa nini VPL haionyeshwi kwenye DSTV

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2008
Posts
3,173
Reaction score
486
Wadau habari zenu
Naomba kujuzwa! Nimejipigapiga weee nikajiwekea DSTV! Kama wengi wengine kubwa ni mpira! Lakini naambulia kuona EPL, Tusker League ya Kenya, Zambia nk. Sioni VPL! Kuna nn kwani? Ina maana hatukidhi viwango ama kuna shida gani? Kweli kama wachezaji wetu kwenye medani za kimataifa hawaonekani si watabaika kucheza cha ndimu tu hapa nyumbani. TFF fanyeni mchakato ili ligi yenu irushwe na DSTV ili na wachezaji wetu wajulikane kimataifa!
 
Walioshinda zabuni ya kuonesha VPL ni Azam tv, DSTV walishindwa.
 
Back
Top Bottom