Kwa nini vijana wengi hushindwa kilimo{Non-technical}

ze farmer

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
758
1,000
Asalam wadau wa kilimo.
Mm ni mdau nambari moja wa kilimo nchini.
Nimekuwa nikihudhuria, kusoma, kusikiliza, kuangalia mambo yahusuyo kilimo kwa nia ya kujifunza na kuongeza ujuzi.
Kama zilivokazi nyingine kilimo pia kina changamoto zake.
1. Ukosefu wa mitaji
2. Upungufu na ughali wa pembejeo
3. Mabadiliko ya tabia ya nchi
4. Ukosefu wa masoko
5. Changamoto ya bei (price fluctuations) n. K

Pamoja na changamoto hizo zote hakuna mtu huzungumzia USHIRIKINA yes USHIRIKINA kwenye kilimo kama changamoto kubwa sana. Amini msiamini kwa uzoefu wangu kwenye kilimo naweza sema bila kupepesa macho kuwa ushirikana upo na unafanya kazi usiku na mchana kwenye kilimo.
1. Unaweza nunua Ng'ombe aliyekuwa anatoa maziwa lita 30 kwako asitoe hata lita mbili pamoja na kumpa mahitaji yote
2. Kuku asitage hata yai moja
3. Ekari moja ya mpunga ukapata gunia 4 za mpunga jirani yako akavuna dunia 30.
4. Ukapanda mazao hata yasiote.

Wengi watakwambia umekosea sijui nn
Ila part ya ukweli ni kuwa wazee wa kamati huwa wako kazini.
I have vivid examples on this na baadhi ya wazee wanakwambia kijana dunia pana ila ukisha tafuta msaada unaona mambo yako mstarini.

Somo: Vijana mnaotaka kuingia kwenye kilimo kwenye akili yenu fikilieni namna ya kukabili hili kwa maombi au vinginevyo.
Asalam Alekum.
 
Lady of Destiny1

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
585
1,000
Nianze kwa kusema hiviiii
(Ongeza sauti)
""""""Kama ushirikina upo Basi hakuna sehemu ambayo hakuna ushirikina nakumbusha Kama upo)

"Kwenye siasa utakuwepo
""Kwenye biashara utakuwepo
"Kwenye utumishi pia utakuwepo

Je Kuna watu wamefanimiwa kisiasa????
Je Kuna watu wamefanimiwa kibiashara?
Je Kuna watu wamefanimiwa katika career zao??

If Yes(Basi unaweza kufanikiwa pia kwenye kilimo regardless of anything

If No(Kwenye kilimo pia kufanikiwa Ni NDOTO za alinachi)

O.v.a
 
SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,224
2,000

Acheni kujidanganya na uchawi, Mungu akikubariki utabarikiwa tu. Hizo ni ahadi zake, uchawi hauna nafasi.
Pia kilimo ni uwekezaji na siyo bla bla za kwenye makaratasi.
Nikupe mfano wa maisha yangu, nimefuga kuku kwa kuanzia wachache sana chini ya 10, ila ndani ya muda mfupi wameongezeka na kuwa wengi sana, ajabu majirani wameshaanza maneno, wengine wanasema tuna mkono wa kuku. Hii ni dhna mbovu.

Ukweli ni kuwa nimetafuta maarifa mengi sana kuhusu ufugaji, nashinda you tube na google kutafuta materials mbali mbali na uzoefu wa wafugaji wengine, naweka kwenye utekelezaji ninachojifunza, nawekeza katika mindombinu. Kiasi kwamba kuku akilalia mayai 12 yanatotolewa yote au likigoma basi moja. Vifaranga wanakua wote, wakifa basi mmoja au wawili. Maneno yamekuwa mengi watu hawaamini.
Wito wangu, vijana tuwe wavumilivu, tuwekeze, hata maandiko yanasema huwezi kuvuna usichopanda.
wengi wanaenda kulima kwa ushabiki wa maneno ya kwenye makaratasi na makabrasha ya motivational speakers
 
mwendokas

Member
Jul 17, 2015
76
125
Nianze kwa kusema hiviiii
(Ongeza sauti)
""""""Kama ushirikina upo Basi hakuna sehemu ambayo hakuna ushirikina nakumbusha Kama upo)

"Kwenye siasa utakuwepo
""Kwenye biashara utakuwepo
"Kwenye utumishi pia utakuwepo

Je Kuna watu wamefanimiwa kisiasa????
Je Kuna watu wamefanimiwa kibiashara?
Je Kuna watu wamefanimiwa katika career zao??

If Yes(Basi unaweza kufanikiwa pia kwenye kilimo regardless of anything

If No(Kwenye kilimo pia kufanikiwa Ni NDOTO za alinachi)

O.v.a
Nimependa Ulivojibu
 
ze farmer

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
758
1,000
Acheni kujidanganya na uchawi, Mungu akikubariki utabarikiwa tu. Hizo ni ahadi zake, uchawi hauna nafasi.
Pia kilimo ni uwekezaji na siyo bla bla za kwenye makaratasi.
Nikupe mfano wa maisha yangu, nimefuga kuku kwa kuanzia wachache sana chini ya 10, ila ndani ya muda mfupi wameongezeka na kuwa wengi sana, ajabu majirani wameshaanza maneno, wengine wanasema tuna mkono wa kuku. Hii ni dhna mbovu.

Ukweli ni kuwa nimetafuta maarifa mengi sana kuhusu ufugaji, nashinda you tube na google kutafuta materials mbali mbali na uzoefu wa wafugaji wengine, naweka kwenye utekelezaji ninachojifunza, nawekeza katika mindombinu. Kiasi kwamba kuku akilalia mayai 12 yanatotolewa yote au likigoma basi moja. Vifaranga wanakua wote, wakifa basi mmoja au wawili. Maneno yamekuwa mengi watu hawaamini.
Wito wangu, vijana tuwe wavumilivu, tuwekeze, hata maandiko yanasema huwezi kuvuna usichopanda.
wengi wanaenda kulima kwa ushabiki wa maneno ya kwenye makaratasi na makabrasha ya motivational speakers
Mkuu kufuga kuku 6 na kuwa commercial farmer ni vitu viwili tofauti. Ushirikina nao una level zake.
 
Top Bottom