Kwa nini unataka kuoa/kuolewa?

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Ni kwa sababu rafiki zako wameoa,wameolewa na wewe unajifikiria kukosa amani na kupoteza kujiamini?

Au unapata pressure kutoka kwa wazazi wako au unaitaji kuitwa Mr au Mrs ili kupata kuheshimia na kuongeza umuhimu wako?

Unafikiri yeye ni tajiri na utaki kumuacha au unafikiria yeye ni mzuri sana kwa wewe kumuacha aende?

Umeamua kuolewa na tajiri au kuoa mtu mzuri? Utajiri na uzuri una mwisho wake lakini penzi la kweli aliishi.

Vyovyote katika sababu zako, kumbuka ndoa ni taasisi ambayo upati shahada katika chuo chochote, mara nyinyi uwezi kufahamu rangi nzuri ya mpenzi wako mpaka utakapo muoa.


Fikiria sana, pindi ukiamua.



 
Mi nawowa ili nsilale mwenyewe usiku,
 
Nataka kuolewa kwa kuwa nimechoka kupigwa Free P
 
Kulinda heshima kama mwanamke...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…