Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,239
- 62,399
Kampani ya kudumu au ya muda tu?Kupata kampani
Akishakupatia watoto mta achana?Kupata watoto
Kwa nini uige watu, ili iwe nini?Kuiga watu
Kwa nini yafutwe?Mahusiano yafutwe
Inategemeana watu wanaachana hata uzeeni.Akishakupatia watoto mta achana?
Za kununua si zipo?Kwa wanaume sababu huwa ni moja TU
1. Kupata Qumer
Ikitokea hajakupatia watoto?Inategemeana watu wanaachana hata uzeeni.
Yana vipengeleKwa nini yafutwe?
Ulipata msukumo gani?Kiherehere changu tu
Vipengele vipi?Yana vipengele
A,b,c,d.....Vipengele vipi?
Ndio mwisho wake, kifupi ishi na mwanamke kimachale.Ikitokea hajakupatia watoto?
Binafsi niliolewa nikiwa na umri mdogo 24 years baada ya kushika ujauzito. Kipindi hicho niliona ni sawa tu maana ndo utaratibu. Now najuta sana kufanya yale maamuzi na pia nawalaumu wazazi wangu kwanini hawakunikataza au kunishauri wakakubali tu niolewe bila hata pingamizi. Now najuta kwa kweli, ningetuliza akili kwanzaUlipata msukumo gani?