mountain
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 757
- 311
Habari ndugu.... Ninaomben mwenye ujuzi wa kile kinachoendelea ugiriki na maden yanayoikumba.. Tatizo haswa ni nn.? Mbona European Union imeikomalia sana...? Kuna wakati naona influence za urus kwa ugiriki nashindwa kuelewa pia katika hilo... Na swal la mwisho ni je nchi zote za ulaya zinaidai ugiriki? Au ugiriki ilikopa hela ndan ya umoja huo.