Kwa nini tunavaa condom?

1. Lengo LA kuvaa condom machoni, ni ili kujinginga na upepo mkali na kuzuilia vumbi lisiingie Machoni lakini pia hutumika kupunguza Mwanga wa jua.
2. Unatakiwa kuvaa pale unapoona umekutana ns MTU unamsalimia halafu haitikii utadhani hajakuona.
Hahahaaaa
 
Ukivaa condom ukapiga na mkanda mweusi halafu chini kiatu safi cheusi daaaahh

[HASHTAG]#kondomu[/HASHTAG] ina maana unajamiiana na mtu usiepaswa kufanya naye ama kama na mkeo ni tarehe usizopaswa kumjamii

Ni makosa na ni DHAMBI.

Tembelea ringi tu mkuu
Mkuu agiza soda waambie waandike kwenye daftari nitalipa
 
Wanajamvi,
Kama heading inavyojieleza, Kwa nini tunavaa condom wakati wa tendo?au ni mtu wa namna gani unatakiwa kufanya nae tendo kwa condom?
Acha kuvaa condoms ili ushindwe kuendesha NOAH yako sitakagi ujinga
 
Wanajamvi,
Kama heading inavyojieleza, Kwa nini tunavaa condom wakati wa tendo?au ni mtu wa namna gani unatakiwa kufanya nae tendo kwa condom?
Rudi hapo wanapouza halafu ujaribu kuuliza hivi hizi dawa tinameza ngapi mara ngapi? Utapewa jibu zuri..
 
Tunavaa condom ili tuweze kuchuja majani yasizidi kwene chai ya maziwa. Vile vile kama unataka kuonja kama chumvi imekolea inashaurika kuvaa izo condom.
 
hakuna sababu yoyote ya msingi.... ni dhana tu ya uwonga, fear of unknown ni mbaya sana!!
 
Back
Top Bottom