Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Acha mashine hizo zitumike ili wafanyabiashara wasikwepe kulipa kodi. ZAMA za kuleta janja ya nyani kula mahindi mabichi zimepita. Ukichunguza vizuri utagundua wengi wao hawazitaki hizi mashine kwa sababu moja tu, hawataki serikali iyajue mapato yao, ili waendelee kukwepa kulipa kodi.
Mbona wafanyakazi walioajiriwa, iwe serikalini au private sectors wanakatwa kodi moja kwa moja kabla hata hawajapokea mishahara yao, na hawalalamiki, sawa iweje hawa wafanyabiashara wakagomee mfumo huu wa matumizi wa mashine za EFD?
Wafanyabiashara tubadilike.
Tulipe kodi Kwa maendeleo ya nchi yetu. Tazama jirani zetu Kenya, asilimia kubwa ya bajeti yao inatokana na mapato ya ndani, yaani mfumo mzuri uliowekwa wa ukusanyaji wa kodi, na kiasi kidogo sana cha bajeti yao kinatokana nchi wafathili.

Hivi enzi ya speed governor unakumbuka nini? Je zipo mpaka leo? Unadhani kwa nini zimepotea? Ukijibu hayo tutaanza kujadili la EFD
kaka tatizo siyo kulipa iyo,lalamiko loa n kwa viongozi wanaotuongoza kutuibia pesa zetu
hivi TRA au huyo kamishina ndio wanauza hizo mashine?Sio kwamba wafanya biashara wanakwepa kulipa kodi la hasha. Imegundulika kuwa kamishna wa TRA ndiye aliyeshikia tenda ya ku supply mashine za EFD.
Chanzo cha kuaminika toka chumba changu cha habari(jina na wadhifa ndani ya TRA vya mhusika vimehifadhiwa)ni kwamba kamishna ananunua kwa Tsh 70,000 na kuuzia wafanya biashara kwa malaki ya fedha yanayouziwa sasa.
Kwa hiyo huu ni mradi wa mtu binafsi. "ufisadi wana pretend ujasiriamali"-Roma mkatoliki. Maisha bora kwa kwa kila kiongozi.
hujui wanachokataa wafanyabiara kaka. ile mashine inarecod mauzo tu halafu inakata kwa % so unakuta tuseme umenunua shirt jumla shs elfu 20 ukiuza 25 inakata % 18 ambayo ni elf 3500 hapo hujatoa umeme, chumba cha biashara ulichopanga, chakula chako na familia na vijana wa kaz na mengineyo. sasa kwa mfumo huo inabid shirt liuzwe si chni ya elf 35 sasa hebu tujiulize hao watu unaowauzia shirt bei hyo wao mshahara wao wameongezewa shs ngap? unakuta hakuna so shida ndio hyo ije mashne yenye uwezo wa kuchanganua manunuz na garama za uendeshaj kila mtu ananunua mashne. laa hlo hawawez watumie ule mfumo wa chna. kwamba kila eneo na bei yake. yaan watu wanatangaziwa ukitaka kuwa na duka kkoo bei ya kod ya serikal ni 6000000 tuseme pa year mwenge ni 30000000 pa year na pengine hvyo hvyo hakuna mtu wa kukwepa kod ndugu.
Sidhani kama hiyo hesabu yako iko sawa. Kama umenunua 20,000/= ukauza 25,000/= that means 18% itakatwa kwenye 5,000 ambayo ni faida 900/=.
acha mashine hizo zitumike ili wafanyabiashara wasikwepe kulipa kodi. Zama za kuleta janja ya nyani kula mahindi mabichi zimepita. Ukichunguza vizuri utagundua wengi wao hawazitaki hizi mashine kwa sababu moja tu, hawataki serikali iyajue mapato yao, ili waendelee kukwepa kulipa kodi.
Mbona wafanyakazi walioajiriwa, iwe serikalini au private sectors wanakatwa kodi moja kwa moja kabla hata hawajapokea mishahara yao, na hawalalamiki, sawa iweje hawa wafanyabiashara wakagomee mfumo huu wa matumizi wa mashine za efd?
Wafanyabiashara tubadilike.
Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu. Tazama jirani zetu kenya, asilimia kubwa ya bajeti yao inatokana na mapato ya ndani, yaani mfumo mzuri uliowekwa wa ukusanyaji wa kodi, na kiasi kidogo sana cha bajeti yao kinatokana nchi wafathili.
hivi TRA au huyo kamishina ndio wanauza hizo mashine?
efd si imeanzishwa kisheria na bunge la tanzania ? mamlaka ni watekelezaji tu
umeshawahi kununua hizo mashine?
think before u ink! be a great thinker
Lisemwalo lipo. Sio kwamba napinga usemayo,bali mtazamo wangu ni huo
Kwa jinsi ulivyoandika nimeshakuelewa wewe ni mtu wa aina gani!Ndg Come Down... Bado Hujajua Kitu Nchii Hii Ngumu... Dili Likipangwa Hata Muhuri Wa Ikulu Utatumika... Rejea Speed Gavoner Ilikuwa Kisheria Kama Efd.! Njo Katika Mikata Ya Usalama Kwenye Mabasi Ilikuwa Kisheria Vilevile Ila Baada Ya Dili Kukamilika What Next??? Efd The Same Applied Ni Dili La Watu Wachache Ndio Maana Makampuni Huru Hayakuchaguliwa Katika Tender Compitition Hivyo Yakabaki Yale Yale Ya Akina Kagoda Agriculture, Deep Greep, Aggreico, Meremeta, Songas Na Mengneyo... Hawa Wamerudi Kwa Mlango Wa Chaua.. Cjui Kama Unanielewa Maana Yawezekana Ukawa Mtoto Wa Juzi Ucyejua Chochote Juu Ya Haya... "Think Twice B4 You Provoke, Be Great Thinker"