kwa nini tbc mnatufinyanga

kwa nini tbc mnatufinyanga

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,298
Reaction score
38,438
habari ya tunduma picha za sumbawanga
 
saizi mjitambulishe tbc ccm
 
Msitegemee hata siku moja mkatangaziwa kitu kama hicho, mtaishia kusoma humu jf na kwenye magazi baadhi kesho yake
 
hakika leo TBC nimewashangaa wangeonesha za \tunduma lakini wakaonesha za sumbawanga
 
nimeikosa hiyo.... japokuwa nimesikia askari walifanya kazi ya
ziada kushusha bendera za cdm usiku kutwa kwani kesho yake
mzee bilal alikuwa na mkutano hapo tunduma
 
Back
Top Bottom